Kilimanjaro Express Kuanza Safari za Usiku

Kilimanjaro Express Kuanza Safari za Usiku

Ni marudio. Serekali ilisitisha safari za usiku katikati ya miaka ya 90 kwa sababu ya ajali nyingi. Na chanzo kilionekana ni madereva kulala. Hiki wanachotaka kufanya kilimanjaro xpress sio kipya.
 
Tayari kuna mabasi mawili yanakwenda Moshi na Arusha toka Dar Usiku. Na yanajaza hasa mpaka Coaster zinamalizia.
What a good move.
Basi za kamoumi gani?
 
Kilimanjaro anamjibu kapricon bus Yan anamuweka mtu Kati baada ya kuanza safari ya saa nane mchana yeye Kilimanjaro express Nate kapricon akaanzisha saa 10 jioni Sasa kaamua kuniwekea ya saa 2.

Chombo zetu zile za ukienda umeshika 12k mkononi unataka kwenda Arusha au dar naona zikiondolewa tararibu.

Saibaba, harambee komaeni sie wadau wenu tushazoeana kuvumiliana
 
Hivi niulize. Dar express ana luxury ya Arusha- Dar ' Dar - Arusha? Wale jamaa wako chap sana. Saa 9 tu washapaki Stand ndogo.

Ila gari zake nyingi kwa nje kuonekano haueleweki
 
Hivi niulize. Dar express ana luxury ya Arusha- Dar ' Dar - Arusha? Wale jamaa wako chap sana. Saa 9 tu washapaki Stand ndogo.

Ila gari zake nyingi kwa nje kuonekano haueleweki
Chuma Anazo sema muonekano wake n ule ule japo Kuna Kama mbili hv ndo nzuri.

Kuhusu kumwaga moto naona bado wako vizuri wanakuwa wa kwanza, tatu au watano hv kuingia a town mbele n tilisho ka mbili hv na BM.

Scania za kapricon zimeshindwa kumkimbiza mchina n Kama sauli anavyopelekwa na mchina huko DSM to mbeya - tunduma
 
Sasa naona Ile mbinu ya kuua safari za train ya Moshi to dar to Moshi imeanza. TRC mpoo? Maza upo? Pole Pole sema neno train yetu itapata wapi wateja wa usiku?

2496098_FB_IMG_15982721446726914.jpg

2496100_FB_IMG_15982721277813688.jpg

2496103_FB_IMG_15982721121082401.jpg
 
Attachments

  • 2581247-7c2cb0dc2c857e2fbb95f41b41a5cce8.mp4
    13.7 MB
Ok sawa issue ilikuwa kuona amefanya jambo la kishujaa kurudisha treni ambayo waliiuwa wao wakairudisha ila kwa mengine naona tupo kwenye same truck
Vema kabisa mkuu. Najua tunapitia msoto mmoja hata kama wengine wanajitoa ufahamu😂😂
 
Kile kipande cha kutoka Mombo mpaka uione Hedaru sijui na nyie mnawaza kama nami nnavyowaza??
Hakuna shida siku hizi..mara moja moja sana wale shusha shusha wanafanya yao,kuna road patrol..lakini wanalenga zaidi malory..hata hivyo siku hizi hatutembei na hela mingi! Labda wachukue simu..japo nazo pia labda akampe mtoto achezee..
 
Tamu sn hizi safari hasa ukapanda na pisi kali kiti kimoja.
 
Tunarudi kwenye utaratibu wa zamani, miaka ya themanini safari zikianza jioni.
Sikuwepo ila nimejiuliza kipindi kile barabara nyingi zikiwa mbovu na vitendo vya uporaji njiani iliwezekana, kwann kwa sasa tushindwe??
 
Back
Top Bottom