Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Coaster atleast manouverability iko juu kuliko basi kubwaBora hizo basi kubwa kuliko vocoaster na noah tunazopanda saivi "HAKUNA KULALA"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coaster atleast manouverability iko juu kuliko basi kubwaBora hizo basi kubwa kuliko vocoaster na noah tunazopanda saivi "HAKUNA KULALA"
Dar watu wengine hata akili hamna, abiria wa usiku Kilimanjaro express hawawezi kuwamaliza, TRC ijipange iweke hata treni mbili basi, Mwendazake amecorupt akili zenu mmekuwa kama poyoyoSasa naona Ile mbinu ya kuua safari za train ya Moshi to dar to Moshi imeanza. TRC mpoo? Maza upo? Pole Pole sema neno train yetu itapata wapi wateja wa usiku?
Mwendazake huyo huyo aliyepush mpaka ikaamzishwa hata hiyo ruti moja ya TRC amecorrupt tena? ?Dar watu wengine hata akili hamna, abiria wa usiku Kilimanjaro express hawawezi kuwamaliza, TRC ijipange iweke hata treni mbili basi, Mwendazake amecorupt akili zenu mmekuwa kama poyoyo
Aah we thubutuuuCoaster atleast manouverability iko juu kuliko basi kubwa
Mwendazake na chama chake ndiyo hao hao walipush mpaka ruti ikafa hapo unasemaje?Mwendazake huyo huyo aliyepush mpaka ikaamzishwa hata hiyo ruti moja ya TRC amecorrupt tena? ?
I am no Pro Mwendazake ila katika habari ya kufufua TRC alifanikiwa. Na pengine kwa sasa hayupo inawezekana TRC ikapiga hatua kurudi nyuma
zipo lakini timing yao sio nzuri.Mbona hiyo ruti safari za usiku zipo siku nyingi. Wanaita hakuna kulala.
Sikua na nia ya kuongelea siasa hapa. Nikianza kutoa listi ya ujinga was hilo lichama kwa miaka 60 mpaka sisi wenyewe wananchi tutajiona ni wajinga kuendelea kulisitiri.Mwendazake na chama chake ndiyo hao hao walipush mpaka ruti ikafa hapo unasemaje?
hamna lolote. huu ni upotoshaji. hiyo ruti treni thamani yake ilikuwa miaka ya 80 hadi 90 kipindi barabara ilikuwa mbovu. Tangu lifufuliwe na Magufuli, lina umuhimu siku za mwishoni mwa mwaka tu. Kwahiyo, kwa siku za kawaida treni halina ushindani wowote dhidi ya mabasi. Tuulize wasafiri wa huko tukwambie.Sasa naona Ile mbinu ya kuua safari za train ya Moshi to dar to Moshi imeanza. TRC mpoo? Maza upo? Pole Pole sema neno train yetu itapata wapi wateja wa usiku?
Safi sana. ni matumaini yangu kuwa wale vibaka baada ya mto wami wanaoweka magogo wamedhibitiwa vema. maana najua bado wanasumbua gari za mizigoKampuni ya Kilimanjaro Express kuanza karibuni safari zake za usiku
Kwa mujibu wa Tangazo lililotolewa kwenye ukurasa wake wa twiter, Huduma ya usafiri itaanza saa 2 Usiku kuanzia Dar-Moshi-Arusha
Kwa mujibu wa afisa wa Kampuni hiyo ambaye nimeongea naye kwa njia ya simu, amethibisha kuwepo kwa safari hizo zinaozotegea kuanza hivi pumde.
" Ni kweli safari hizo zitaanua hivi karibuni, tutawapa taarifa wateja wetu, tunachokisubifia kwa sasa ni kupata idhini ya mwisho toka mamlaka za serekali, lakini hatua tuliofikia ni nzuri, tupo kwenye uratibu wa mwisho ili kuanza safari hizo" Alisema afisa huyo.
View attachment 1870410
Zile rungwe za mchana saa nane kwenda Mbeya vipi zilishaanza?Kuna hii ruti ya dar mbeya nayo ni muhimu sana kuwe na basi za usiku
Sasa naona Ile mbinu ya kuua safari za train ya Moshi to dar to Moshi imeanza. TRC mpoo? Maza upo? Pole Pole sema neno train yetu itapata wapi wateja wa usiku?
Sikua na nia ya kuongelea siasa hapa. Nikianza kutoa listi ya ujinga was hilo lichama kwa miaka 60 mpaka sisi wenyewe wananchi tutajiona ni wajinga kuendelea kulisitiri.
Ishu yangu ilikua kwenye maneno kwamba amecorupt mind yake kivipi kuhusiana na reli?
Dodoma ndio ilikuwa moja ya chanzo za safari za usiku kufutwa...waambie waje na Dodoma
Heheheheh mapopo tutakuja kutoa ushahidi humuTunaopambana na haya mabasi MCHANA tukisikia yamerusiwa kusafiri usiku tunasema hiiiiiiiiiii. Tukumbushane baada ya miezi michache.