Kilimanjaro Express Kuanza Safari za Usiku

Kilimanjaro Express Kuanza Safari za Usiku

Hiii itasaidia watu wasisingizie muda au ruhusa unaondoka ijumaa unashinda jmosi,jpili unahudhuria misa asubui nyumbani saa moja usiku unakula ugali na wapendwa saa mbili usiku unajisanua saa mbili asubui upo ofisini safiii
Hapo ofisini ni full usingizi.
 
Siku ikifika imefika tu. Hata kama ulisimama dukani kwa Mangi, kuna dereva mmoja tu break zitafail atakuparamia.

Ya Dar - Arusha? Watamwaga Wami au? Acha kuwa na mawazo hasi babu
Buses wako rough. Kinachowazuia mchana ni uwepo wa Askari wengi na tochi. Sasa usiku watakuwa huru kucheza rafu zao unafikiri madhara hayatakuwepo? Mabasi mengi yanaendeshwa na machizi fresh hawajali watumiaji wengine hasa wenye magari madogo.
 
Siku ikifika imefika tu. Hata kama ulisimama dukani kwa Mangi, kuna dereva mmoja tu break zitafail atakuparamia.

Ya Dar - Arusha? Watamwaga Wami au? Acha kuwa na mawazo hasi babu
Hahahahah juzi watu wamepasuana mbele kidogo ya Wami
 
Kuna hii ruti ya dar mbeya nayo ni muhimu sana kuwe na basi za usiku

Hiyo zipo kitambo majinjah na newforce kila siku zipo newforce anaanzia tunduma, majinjah anaanzia mbeya uyole, mbeya muda mrefu wanasafari za usiku
 
Sasa naona Ile mbinu ya kuua safari za train ya Moshi to dar to Moshi imeanza. TRC mpoo? Maza upo? Pole Pole sema neno train yetu itapata wapi wateja wa usiku?
Ni vile inaonekana huna exposure kukua kwa maendeleo ni pamoja na vitu vyote kuwepo nchi zilizotutangulia train zipo za kawaida na umeme,tax,hiace,usafiri wa mwendokasi,self drive na taka taka zote na hakuna anafikiri ulichokiandika maana wote wanapata kwa kuwa wahitaji wanaongezeka na uchumi unakua...
 
Buses wako rough. Kinachowazuia mchana ni uwepo wa Askari wengi na tochi. Sasa usiku watakuwa huru kucheza rafu zao unafikiri madhara hayatakuwepo? Mabasi mengi yanaendeshwa na machizi fresh hawajali watumiaji wengine hasa wenye magari madogo.
Watawauwana sana yani na ule utanuaji wa kipumbavu kwenye milima bora wazuie tu
 
Kuna hii ruti ya dar mbeya nayo ni muhimu sana kuwe na basi za usiku

Mbona hiyo ruti safari za usiku zipo siku nyingi. Wanaita hakuna kulala.

Hii route hapana watwamwageni kitonga hawa madereva wetu wa mitandaoni

Yaani hii Ruti ya Dar-Arusha na Dar-Mbeya ilikua imetawaliwa na hizo hakuna kulala kinyemela

Bora waanzishe officially kabisa itasaidia

Tumechoka kuigiza tunaenda misibani kila siku. Mkisimamishwa inabidi abiria mtie nyuso za maombolezo au sometimes hata na kilio ili muwahi mishe😂😂😂😂
 
Buses wako rough. Kinachowazuia mchana ni uwepo wa Askari wengi na tochi. Sasa usiku watakuwa huru kucheza rafu zao unafikiri madhara hayatakuwepo? Mabasi mengi yanaendeshwa na machizi fresh hawajali watumiaji wengine hasa wenye magari madogo.

Watawauwana sana yani na ule utanuaji wa kipumbavu kwenye milima bora wazuie tu
Bora hizo basi kubwa kuliko vocoaster na noah tunazopanda saivi "HAKUNA KULALA"
 
Back
Top Bottom