Kilimanjaro: Godlisten Malissa afikishwa Mahakamani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426

Akome ! Alishangilia sana kifo cha Magufuli kwamba eti sasa atakuwa huru.
Baada ya miaka 3 tukuulize wewe Malisa uko huru??
 
Badala ya kuhangaika na majizi ya mali za umma serikali ipo busy na wakosoaji, nchi ya kijinga sn
 
Ni maigizo yanayoandaliwaga na wahusika haswaa wa Serikali hakuna jipya ni Yale Yale inapokaribia Uchaguzi
 
Akome ! Alishangilia sana kifo cha Magufuli kwamba eti sasa atakuwa huru.
Baada ya miaka 3 tukuulize wewe Malisa uko huru??
Hakika bado unamkumbuka aliyeturudisha gizani hadi leo! Magufuli ni shetani aliyetokelezea duniani kwa muda mfupi kama kawaida ya mashetani wote. Alifanya kazi yake ya kuharibu na kuua kama mashetani wote. RIH Roast in Hell Magufuli!
 
Nenda kawashe umeme unaotokana na bwawa la umeme ili usifirwe gizani mbwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…