Hizi project za kula pesa za perdiem za mapolithMkurugenzi wa Taasisi ya GH Foundation, Godlisten Malissa tayari amefikishwa Mahakamani leo 18/07/2024, ambako anatarajiwa kusomewa Mashtaka kadhaa likiwemo la Uchochezi
Anatetewa na Mawakili Hekima Mwasipu na Dickson Matata.
View attachment 3045325
Tunamtakia kila la heri