LGE2024 Kilimanjaro: Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM, je hii ni sahihi?

Ni jambo la kawaida kulingana na jiografia ya eneo husika, Lakini pia kama ni namna rahisi kwa wananchi wengi zaidi wa eneo husika kufika kwa urahisi kituoni hapo.

huo ni uzalendo wa kiwango cha juu sana wa kiTanzania kwa huyo mwananchi mtumishi wa wananchi kujitolea bila kujibakiza kwaajili ya umma..

Hata ukiangalia kwa mfano,
ofisi za Chadema nchi nzima ni nyumba au mageto ya vijana tu na kazi zao zinakwenda bila malalamiko 🐒
 
Sehemu rahisi wananchi wengi kufika ni eneo la shule. Au basi ofisi ya kijiji. Au hilo eneo halina ofisi yoyote ya serikali?

We mjamaa bana sijui unakulaga maharage ya wapi, kila saa umevimbiwa
 
😄

Ova
 
Kuna wapumbavu wa kiccm humu huja nakusema ccm inapendwa na samia atashinda kwa kishindo. Kumbe ujinga wanaofanya ni huwo na bila ya hivyo asahau hata kupata asilimia 20 y akura zote, Kuna wanafunzi wengi watoto wamelekwa vituoni na ccm ili wajiandikishe.
 
Tunaishi nao tujifunze kuwakataa kwa kufanya ……
kuna kajambo fulani mbona easy sana tunaKwama wapi?
 
Back
Top Bottom