Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Mimi ndo maana sina mpango wa kujiandikisha kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiandikishe, nnda kapige kura maana uiacha yatajaa peke yao kama ilivyo sasa.Mimi ndo maana sina mpango wa kujiandikisha kwa kweli
Na kweliMkae mkao wa kula picha ndio linaanza hivyo
Sikiliza clip , sina haja ya kuweka maelezo
View attachment 3122415
Angalia baiskeli laki tatu zimeandikwa SAMIA 2025 KAZI IENDELEE
Maria sarungi
KAMATENI USHAHIDIPicha za baiskeli za Samia 2025 zikiwa GoDown Rejea post yangu ya asubuhi kuhusu kontena zaidi ya 50 kushushwa zenye baiskeli zimeandikwa “Samia 2025, Kazi iendelee!” Sasa mnaona kufuru hii!Tuambiwe bajeti ipi imetumika hapa Hii haiwezi kuwa ya mtu binafsi!Ila #TutaelewanaTu mbona!?
View attachment 3122545
Hawa ndo wapumbafu na vijana wajinga wa uvccm ndo akili mgando alizonazo ,na ndo product ya kina bumunda na usje ukadhan ana Fanya makusud kuandika huu ujinga ,ndo mwsho wa akili zake ,,si unamuona bumunda alivyo na akili za ovyo? Na wengi sana uwezo wa kufkir na kuwaza ni mdogo sana kama huyu.. inategemea akiwa kiongoz au wazir ataongea nn Kwa mabeberu ? Kama sio kuwaachia tu wachimbe madin na waondoke nayo ? Kama sio kuingia mikataba ya ki laghai na waarabu wachukue bandari maana atasema tunaendesha Kwa hasara maana watu sio waaminifu?? Ni Mungu tuu atusaidieNi jambo la kawaida kulingana na jiografia ya eneo husika, Lakini pia kama ni namna rahisi kwa wananchi wengi zaidi wa eneo husika kufika kwa urahisi kituoni hapo.
huo ni uzalendo wa kiwango cha juu sana wa kiTanzania kwa huyo mwananchi mtumishi wa wananchi kujitolea bila kujibakiza kwaajili ya umma..
Hata ukiangalia kwa mfano,
ofisi za Chadema nchi nzima ni nyumba au mageto ya vijana tu na kazi zao zinakwenda bila malalamiko 🐒