Ni jambo la kawaida kulingana na jiografia ya eneo husika, Lakini pia kama ni namna rahisi kwa wananchi wengi zaidi wa eneo husika kufika kwa urahisi kituoni hapo.Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM, je hii ni sahihi?
Nilitaka nikuite kumbe umeshawahi😄CCM wanafanya mambo ya kijinga sn
Hawa wajinga ni moto juu ya motoNilitaka nikuite kumbe umeshawahi😄
Sehemu rahisi wananchi wengi kufika ni eneo la shule. Au basi ofisi ya kijiji. Au hilo eneo halina ofisi yoyote ya serikali?Ni jambo la kawaida kulingana na jiografia ya eneo husika, Lakini pia kama ni namna rahisi kwa wananchi wengi zaidi wa eneo husika kufika kwa urahisi kituoni hapo.
huo ni uzalendo wa kiwango cha juu sana wa kiTanzania kwa huyo mwananchi mtumishi wa wananchi kujitolea bila kujibakiza kwaajili ya umma..
Hata ukiangalia kwa mfano,
ofisi za Chadema nchi nzima ni nyumba au mageto ya vijana tu na kazi zao zinakwenda bila malalamiko 🐒
Sasa unashangaa nn? Hiyo ni michezo ya kawaida kwa ccmKituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM, je hii ni sahihi?
😄Sehemu rahisi wananchi wengi kufika ni eneo la shule. Au basi ofisi ya kijiji. Au hilo eneo halina ofisi yoyote ya serikali?
We mjamaa bana sijui unakulaga maharage ya wapi, kila saa umevimbiwa
Hii inakubalika kweli?Sikiliza clip , sina haja ya kuweka maelezo