LGE2024 Kilimanjaro: Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mimi ndo maana sina mpango wa kujiandikisha kwa kweli
 


Mwagia petrol na kuchoma kontena zote
 
Hawa ndo wapumbafu na vijana wajinga wa uvccm ndo akili mgando alizonazo ,na ndo product ya kina bumunda na usje ukadhan ana Fanya makusud kuandika huu ujinga ,ndo mwsho wa akili zake ,,si unamuona bumunda alivyo na akili za ovyo? Na wengi sana uwezo wa kufkir na kuwaza ni mdogo sana kama huyu.. inategemea akiwa kiongoz au wazir ataongea nn Kwa mabeberu ? Kama sio kuwaachia tu wachimbe madin na waondoke nayo ? Kama sio kuingia mikataba ya ki laghai na waarabu wachukue bandari maana atasema tunaendesha Kwa hasara maana watu sio waaminifu?? Ni Mungu tuu atusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…