Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Kwanini unahisi hakuhusiani?Kunahusiana vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unahisi hakuhusiani?Kunahusiana vipi?
Atasaidiwa na kina meku kumpandisha kibo new wife 😍Anasema hawezi hata kutembea atajikokota na kwenye tendo itakuaje?
Kila kiungo katika mwili kina kazi yake, hivyo miguu itawajibika inavyoweza na vyombo vya uzazi vitatekeleza majukumu kivyake!Kwanini unahisi hakuhusiani?
Kama kutembea kunasababisha uchoke kushiriki ngono itakuaje?Kila kiungo katika mwili kina kazi yake, hivyo miguu itawajibika inavyoweza na vyombo vya uzazi vitatekeleza majukumu kivyake!
Uchovu wa kutembea unasababisha maumivu ya viungo lakini ngono inasababisha raha ya mwili na utulivu wa akili sawa na kucheka kwa muda mrefu!Kama kutembea kunasababisha uchoke kushiriki ngono itakuaje?
Inawezekana mdada sio mhusika ila kafungwa ndoa tayariMbona nasikia mrembo karuka kwamba haolewi au wanacheza na akili za wabongo
Kafunga tayariHakuna ndoa ya Kikatoliki au Kilutheri kipindi cha Kwaresma.