Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 35,012 Reaction score 70,201 Mar 24, 2022 #21 Ileje said: Kunahusiana vipi? Click to expand... Kwanini unahisi hakuhusiani?
Kasiano Muyenzi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 13,858 Reaction score 22,729 Mar 24, 2022 #22 Castr said: Anasema hawezi hata kutembea atajikokota na kwenye tendo itakuaje? Click to expand... Atasaidiwa na kina meku kumpandisha kibo new wife 😍
Castr said: Anasema hawezi hata kutembea atajikokota na kwenye tendo itakuaje? Click to expand... Atasaidiwa na kina meku kumpandisha kibo new wife 😍
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 9,524 Reaction score 13,682 Mar 24, 2022 #23 Castr said: Kwanini unahisi hakuhusiani? Click to expand... Kila kiungo katika mwili kina kazi yake, hivyo miguu itawajibika inavyoweza na vyombo vya uzazi vitatekeleza majukumu kivyake!
Castr said: Kwanini unahisi hakuhusiani? Click to expand... Kila kiungo katika mwili kina kazi yake, hivyo miguu itawajibika inavyoweza na vyombo vya uzazi vitatekeleza majukumu kivyake!
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 35,012 Reaction score 70,201 Mar 24, 2022 #24 Ileje said: Kila kiungo katika mwili kina kazi yake, hivyo miguu itawajibika inavyoweza na vyombo vya uzazi vitatekeleza majukumu kivyake! Click to expand... Kama kutembea kunasababisha uchoke kushiriki ngono itakuaje?
Ileje said: Kila kiungo katika mwili kina kazi yake, hivyo miguu itawajibika inavyoweza na vyombo vya uzazi vitatekeleza majukumu kivyake! Click to expand... Kama kutembea kunasababisha uchoke kushiriki ngono itakuaje?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 24, 2022 #25 Kila la kheri zake...
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 9,524 Reaction score 13,682 Mar 24, 2022 #26 Castr said: Kama kutembea kunasababisha uchoke kushiriki ngono itakuaje? Click to expand... Uchovu wa kutembea unasababisha maumivu ya viungo lakini ngono inasababisha raha ya mwili na utulivu wa akili sawa na kucheka kwa muda mrefu!
Castr said: Kama kutembea kunasababisha uchoke kushiriki ngono itakuaje? Click to expand... Uchovu wa kutembea unasababisha maumivu ya viungo lakini ngono inasababisha raha ya mwili na utulivu wa akili sawa na kucheka kwa muda mrefu!
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Mar 24, 2022 #27 Hatimaye kapata mwenza
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 24,844 Reaction score 29,126 Mar 24, 2022 #28 Capslock said: Mbona nasikia mrembo karuka kwamba haolewi au wanacheza na akili za wabongo Click to expand... Inawezekana mdada sio mhusika ila kafungwa ndoa tayari
Capslock said: Mbona nasikia mrembo karuka kwamba haolewi au wanacheza na akili za wabongo Click to expand... Inawezekana mdada sio mhusika ila kafungwa ndoa tayari
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 24,844 Reaction score 29,126 Mar 24, 2022 #29 Mgodo Mgodoki said: Hakuna ndoa ya Kikatoliki au Kilutheri kipindi cha Kwaresma. Click to expand... Kafunga tayari Itakua kuna sbb wameamua kumruhusu
Mgodo Mgodoki said: Hakuna ndoa ya Kikatoliki au Kilutheri kipindi cha Kwaresma. Click to expand... Kafunga tayari Itakua kuna sbb wameamua kumruhusu