Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 590
- 807
Huduma ya maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro. Maji Mwaa Mwaa Mwaaaaaa
Huu ni mwendelezo wa kazi ya uchimbaji wa visima 900,
Hii ni Leo Jumapili Nov 10, 2024 na huu ni mtambo wa kuchimba kisima kirefu kwenye Kata ya Mabogini kitongoji cha Shabaha. Maji ndani ya mita 95.
Ni hatua ya kutatua changamoto za wananchi tunaowahudumia.
Soma Pia: Wananchi Mabogini Moshi wapaza sauti tatizo la Maji safi na salama