peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Watanzania huko Moshi Kilimanjaro Kesho ni washerekeaji tu wa Kilimanjaro marathon .
Hawana uwezo wa kupata zawadi Hata moja.
Wakenya ninasikia wamekuja wengi wamelala tayari kuanza bio Kesho na kuondoka na zawadi zote.
Wabongo ni ulevi usiku kucha na ngono Yakima asubuhi Hakuna cha kukimbia marathon hapo.
Kama una mtu wako yuko Moshi kwa ajili ya marathon imekula kwako.
Muhimu mtumie ujumbe mwambie pamoja na kuwa amelewa atumie kinga kuna Ukimwi.