peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
[emoji16][emoji16][emoji16]Msisahau kuleta picha warembo wakiwa ndni ya vicondom vyao.
wamesahau kuwa ngono huwa inalegeza magoti na kiuno.Watanzania huko Moshi Kilimanjaro Kesho ni washerekeaji tu wa Kilimanjaro marathon .
Hawana uwezo wa kupata zawadi Hata moja.
Wakenya ninasikia wamekuja wengi wamelala tayari kuanza bio Kesho na kuondoka na zawadi zote.
Wabongo ni ulevi usiku kucha na ngono Yakima asubuhi Hakuna cha kukimbia marathon hapo.
Kama una mtu wako yuko Moshi kwa ajili ya marathon imekula kwako.
Muhimu mtumie ujumbe mwambie pamoja na kuwa amelewa atumie kinga kuna Ukimwi.
Hilo ni tamasha kwa Wabongo na kwa Wakenya Kili Marathon ni kaziWatanzania huko Moshi Kilimanjaro Kesho ni washerekeaji tu wa Kilimanjaro marathon .
Hawana uwezo wa kupata zawadi Hata moja.
Wakenya ninasikia wamekuja wengi wamelala tayari kuanza bio Kesho na kuondoka na zawadi zote.
Wabongo ni ulevi usiku kucha na ngono Yakima asubuhi Hakuna cha kukimbia marathon hapo.
Kama una mtu wako yuko Moshi kwa ajili ya marathon imekula kwako.
Muhimu mtumie ujumbe mwambie pamoja na kuwa amelewa atumie kinga kuna Ukimwi.
Huyu atakuwa mkufunzi au Wanafunzi wa shule ya polisi huko moshi Kilimanjaro. Hakulala baa akilewaMtanzania Emmanuel Biniki aibuka mshindi km 21View attachment 2132663
Na upepo unakatika mapema tu kifuani.wamesahau kuwa ngono huwa inalegeza magoti na kiuno.
ππππMuhimu mtumie ujumbe mwambie pamoja na kuwa amelewa atumie kinga kuna Ukimwi.
Huyu atakuwa mkufunzi au Wanafunzi wa shule ya polisi huko moshi Kilimanjaro. Hakulala baa akilewa
Ni maajabu ya MusaWatanzania wameshinda zote half&full marathon View attachment 2132707View attachment 2132708View attachment 2132709
Ni maajabu ya Musa
Kwa maana hiyo huu uzi ulianzishwa kimbea sanaWatanzania wameshinda zote half&full marathon View attachment 2132707View attachment 2132708View attachment 2132709