Kilimanjaro, Mtwara na Lindi zaongoza idadi kubwa ya wazee

Nimekupa takwimu za mtaa niliokuwepo umekataa,

Ok
Takwimu za mtaa wako mmoja huwezi toa picha ya Tanzania nzima mimi nlipokuwa kijiji fulani hakuna aliyefariki kwa Covid. Kwa hiyo waliofariki wengi walikuwa ni wa mjini.
 
Toa takwimu za kutetea hoja yako.. wewe una okoteza taarifa ambazo sio. Kipindi cha Covid walifariki wazee ndio lakini sio wengi hawawezi hata kufika 200k na wengi ni walio kuwa maeneo ya mjini.
Laki 2? Hata 1000 hawafiki
 
Kibongo ukishafika miaka 30 wewe umeshamaliza FIRST HALF, kuanzia 31 mpaka 60 ni SECOND HALF hiyo.

Ukifika miaka 45 anza kufundisha kazi kwa watoto unaowaamni na kuonesha mali zako zilipo kama kuna ulazima.
Pia ni umri wa kustafu kwa hiari kula bata na kuachia damu changa iendelee.
Hapa unakuwa umebakiwa na miaka 15 rasmi na mingine michache ya nyongeza (kwenye mpira wanaita official added time)
 
Inafikirisha sana mkuu, kwamba 45 watu waanze kurasimisha mali zao kwa watoto, kwamba tayari 45 ni dakika za lala salama? Mbona lifespan imekuwa fupi namna hii.
 
Laki 2? Hata 1000 hawafiki
Si unaona mkuu ila wanasema hiyo ni sababu kubwa. Mimi nakubali hali ivyokuwa ya Covid na sikupenda jinsi takwimu zilikuwa hazitolewi ila napingana na hawa wanaosema kuwa ndio sababu ya wazee wa chache nchi.
 
Kibongo ukishafika miaka 30 wewe umeshamaliza FIRST HALF, kuanzia 31 mpaka 60 ni SECOND HALF hiyo.

Ukifika miaka 45 anza kufundisha kazi kwa watoto unaowaamni na kuonesha mali zako zilipo kama kuna ulazima.
Pia ni umri wa kustafu kwa hiari kula bata na kuachia damu changa iendelee.
Hapa unakuwa umebakiwa na miaka 15 rasmi na mingine michache ya nyongeza (kwenye mpira wanaita official added time)
Kipindi nipo o-level, wanafunzi walikuwa wanafiwa na baba zao sana mpaka tukawa tunasema zile ni kafara za wenye shule...

Sikuchukulia hiyo issue kwa umakini mpaka yakanikuta, baba yangu alifariki akiwa na 52. Miaka ile ile ambayo wanasema ndo life expectancy ya mtanzania.

Halafu hii inawatokea wanaume tu, kama hujafa basi una gout sugu au pressure au kisukari.

Sijui shida iko wapi
 
Back
Top Bottom