Kilimanjaro, Mtwara na Lindi zaongoza idadi kubwa ya wazee

Nowday ukivuka miaka kuanzia 60 mshukuru sana saa Godi watu wengi tunaozika aiku hizi wamezaliwa miaka ya 1950 wengine 1960
 
Kipindi nipo o-level, wanafunzi walikuwa wanafiwa na baba zao sana mpaka tukawa tunasema zile ni kafara za wenye shule...

Sikuchukulia hiyo issue kwa umakini mpaka yakanikuta, baba yangu alifariki akiwa na 52. Miaka ile ile ambayo wanasema ndo life expectancy ya mtanzania.

Halafu hii inawatokea wanaume tu, kama hujafa basi una gout sugu au pressure au kisukari.

Sijui shida iko wapi
Ni kweli hali ilikuwa tete sana
 
Tanzania ina wazee 2.3m wenye above 65yrs

kunaa jamaa humu alikua anajitapa kwamba mkoa wake hauna wazee karibu wote ni vijanaa.

namuuliza hao wazee wako wapi

namuuliza unajua indicator ya short life span

kikawaida Tanzania ingetakiwa iwe na wazee 9m above 65yrs lakini wamebaki 2m

7m wote wameondoka kutokana na low life span.
hiyo mikoa uliyotaja wazee hakuna shauri ya imani za kishirikina kwa dar ni ukata wa maisha jiji lile gumu aheri kijijini kwa mkoa wa mjini magharibi siwezi sema kitu.
Mikoa inayoongoza kwa life span ndefu ni singida na Dodoma shauri ya life style ya kutokutumia sana nyama nyekundu zaidi wanatumia mboga za majani.
Mkoa wa kilimanjaro pamoja na kuji mwambfy life span ni ndogo shauri ya ubabe wa kupenda ndafu wanaona ni ufahari.
Najua mtasema wamasai mbona wanakula sana nyama wamasai wanatumia miti shamba ya kukata ile red meat hivyo uric acid hakuna.
Ila dogo naomba usiniite mzee tuheshimiane maana mimi nina 65 sasa na ona najua hadi jamii forum ila mungu akujalie umeniamsha usingizini nibadili life syle
 
Wewe unaongea ukiwa na Takwimu au unajisemea tuu. Singida na Dodoma kwenye umasikini uliotopea. Aliyekuambia kula majani ndio kigezo pekee cha kuishi miaka mingi ni nani.

Takwimu ya Sensa ya 2023 inaonesha mikoa yenye wazee wengi wa kwanza ni Kilimanjaro ukifuatiwa na Mtwara na ni kweli maeneo yote haya nimeishi nimeona jinsi wazee wana vyojaliwa na watoto na jamii kwa ujumla
 
Hii kitu ni kweli kabisa. Kijijini kwetu bibi yangu tu ndyo anaonekana kuwa na umri mkubwa kuliko watu wote wakati huo kata nzima ina watu zaidi ya 6,000.

Wakati huo pia babu yetu ambae ndyo alikuwa mume wa bibi alifariki mwaka 2000 kipindi hicho hata sikumbuki vizuri ila sura yake naikumbuka kwa mbaali mno akiwa hai. Hii inaonesha karibu 90% ya hao wazee watakuwa wanawake
 
Tanzania ina wazee 2.3m wenye above 65yrs

kunaa jamaa humu alikua anajitapa kwamba mkoa wake hauna wazee karibu wote ni vijanaa.

namuuliza hao wazee wako wapi

namuuliza unajua indicator ya short life span

kikawaida Tanzania ingetakiwa iwe na wazee 9m above 65yrs lakini wamebaki 2m

7m wote wameondoka kutokana na low life span.
Wangetoa na takwimu za kanda ya ziwa
 
Tanzania ina wazee 2.3m wenye above 65yrs

kunaa jamaa humu alikua anajitapa kwamba mkoa wake hauna wazee karibu wote ni vijanaa.

namuuliza hao wazee wako wapi

namuuliza unajua indicator ya short life span

kikawaida Tanzania ingetakiwa iwe na wazee 9m above 65yrs lakini wamebaki 2m

7m wote wameondoka kutokana na low life span.
GAN-Z ni wengi sana tuliwashe
 
Hii kitu ni kweli kabisa. Kijijini kwetu bibi yangu tu ndyo anaonekana kuwa na umri mkubwa kuliko watu wote wakati huo kata nzima ina watu zaidi ya 6,000.

Wakati huo pia babu yetu ambae ndyo alikuwa mume wa bibi alifariki mwaka 2000 kipindi hicho hata sikumbuki vizuri ila sura yake naikumbuka kwa mbaali mno akiwa hai. Hii inaonesha karibu 90% ya hao wazee watakuwa wanawake
Mkoa gani na huyo bibi yako ana umri gani?
 
Kwa idadi hiyo kumbe serikali ikiamua inao uwezo kuwalipa wazee wote pensheni ya angalau 50,000/- kila mwezi. Zanzibar hilo linafanyika muda mrefu.
 
Yani hii nchi kwa sasa Kikwete ndiye rais mstaafu pekee aliyebaki.

Ukifika miaka 50 unaitwa mzee.

Wakati Michael Jackson kafariki na miaka 50, Wamarekani wamelalamika kafariki mdogo sana.
Sio walilalamika, walimlaumu kwa kufa at age of 50
 
Toeni na solution. Siyo kulalamika tu!

Nchi ya wachambuzi wa mpira
Solution ni malezi tu ya kila mzazi au mlezi kwa watoto. Kwa saivi haiingii akilini serikali ije na ajenda ya kuwakataza vijana wasinywe pombe kali kupita kiwango fulani na huku wakati huohuo kwenye familia hivo vunywaji ndyo kama maji ya kunywa baada ya kula kama waswahili tulivyozoea.
 
Baada❌

Badala✔️
 
Back
Top Bottom