Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Takwimu za mtaa wako mmoja huwezi toa picha ya Tanzania nzima mimi nlipokuwa kijiji fulani hakuna aliyefariki kwa Covid. Kwa hiyo waliofariki wengi walikuwa ni wa mjini.Nimekupa takwimu za mtaa niliokuwepo umekataa,
Ok
OkTakwimu za mtaa wako mmoja huwezi toa picha ya Tanzania nzima mimi nlipokuwa kijiji fulani hakuna aliyefariki kwa Covid. Kwa hiyo waliofariki wengi walikuwa ni wa mjini.
Hawana stress za maisha wanasubiri nazi zianguke tu na kwenda kuvua samaki.Mkoa inayoongoza kwa wazee wengi Ni mkoa wa Pwani. Wilaya ya kibaha na Bagamoyo.
Hayo ni matatizo ya nchi masikiniUkishafika miaka 30 ww ni mzee tayari. (Tena zee kweli) Yaendeleayo huko mbele ni majaliwa
Achana nae jinga ilo,jiwe aliwaambukiza ukilaza wakuipinga covidNimekupa takwimu za mtaa niliokuwepo umekataa,
Ok
Kwaiyo tukuamini wewe zumbukukuTakwimu za mtaa wako mmoja huwezi toa picha ya Tanzania nzima mimi nlipokuwa kijiji fulani hakuna aliyefariki kwa Covid. Kwa hiyo waliofariki wengi walikuwa ni wa mjini.
Laki 2? Hata 1000 hawafikiToa takwimu za kutetea hoja yako.. wewe una okoteza taarifa ambazo sio. Kipindi cha Covid walifariki wazee ndio lakini sio wengi hawawezi hata kufika 200k na wengi ni walio kuwa maeneo ya mjini.
😄😄😄Anza kuandika urithiHii takwimu imenishtua sana.
Inafikirisha sana mkuu, kwamba 45 watu waanze kurasimisha mali zao kwa watoto, kwamba tayari 45 ni dakika za lala salama? Mbona lifespan imekuwa fupi namna hii.Kibongo ukishafika miaka 30 wewe umeshamaliza FIRST HALF, kuanzia 31 mpaka 60 ni SECOND HALF hiyo.
Ukifika miaka 45 anza kufundisha kazi kwa watoto unaowaamni na kuonesha mali zako zilipo kama kuna ulazima.
Pia ni umri wa kustafu kwa hiari kula bata na kuachia damu changa iendelee.
Hapa unakuwa umebakiwa na miaka 15 rasmi na mingine michache ya nyongeza (kwenye mpira wanaita official added time)
Wanawake ni wengi zaidi kuliko wanaume, too much sex kills.Ktk hao wazee milion mbili ,wabibi n wangapi na wababu n wangapi mkuuu..
Si unaona mkuu ila wanasema hiyo ni sababu kubwa. Mimi nakubali hali ivyokuwa ya Covid na sikupenda jinsi takwimu zilikuwa hazitolewi ila napingana na hawa wanaosema kuwa ndio sababu ya wazee wa chache nchi.Laki 2? Hata 1000 hawafiki
Sana na ndio chanzo cha vifo vya mapema. Magonjwa ya Moyo, Shinikizo la juu la damu, kansa na mengineyo yanaua sana.Life style yetu inachangia sana....
Kipindi nipo o-level, wanafunzi walikuwa wanafiwa na baba zao sana mpaka tukawa tunasema zile ni kafara za wenye shule...Kibongo ukishafika miaka 30 wewe umeshamaliza FIRST HALF, kuanzia 31 mpaka 60 ni SECOND HALF hiyo.
Ukifika miaka 45 anza kufundisha kazi kwa watoto unaowaamni na kuonesha mali zako zilipo kama kuna ulazima.
Pia ni umri wa kustafu kwa hiari kula bata na kuachia damu changa iendelee.
Hapa unakuwa umebakiwa na miaka 15 rasmi na mingine michache ya nyongeza (kwenye mpira wanaita official added time)