Kilimanjaro: Mwalimu ampiga Mwanafunzi hadi kifo

Profesa Adolf Mkenda ‘ waziri wa Elimu na Mbunge waJimbo la Rombo , sasa umebipiwa!!
 


Hata kusoma ni ngumu, unampigaje mtoto helpless?
 
Bora kesi nyingine ila sio ya mauaji. Hii kesi huwa inafuatiliwa mwanzo mwisho. Mwalimu atakimbia kimbia ila watamkamata na ndo itakuwa mwisho wake kuonekana uraiani. Hapo tayari mwalimu kashaharibu maisha yake yote yaliyobakia. Isitoshe ishu ishafika kwenye vyombo vya habari hivyo watetezi wa haki za watoto na wanasiasa lazima wajichukulie maujiko kupitia hii ishu. Hili ni fundisho kwa waalimu wengine kusoma alama za nyakati.
 
Hamjui tu yaliyotokea , mtt alikuwa na tatizo lake binafs ,SEMA wachaga wa useri wamechachamaa [emoji15] sisis ndo wachaga asee[emoji33]
 
Tena na hivyo mishahara haiongezwi mtegemee Mengi zaidi
 
Tukikataza kupiga watoto tunaitwa wakina mama Junia [emoji24][emoji24][emoji24]

Rest in Peace Angel, [emoji885]

Huyo bazazi atahangaika na Dunia na atakufa kifo cha kikatili sana.
Tatizo kubwa ni kwamba bado serikali inaruhusu adhabu ya viboko. Najua kuna utaratibu wameweka wa kuchapa wanafunzi lakini hakuna mwalimu au shule inayoufuata na serikali iko reluctant kukazia au kufuatilia. Dunia ya sasa iliyostaarabika viboko ni adhabu ya kikatili mno. Hebi fikiria mtoto wa miaka 7 anaanza kupata kipigo kikali namna hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…