Kilimanjaro: Mwalimu ampiga Mwanafunzi hadi kifo

Kilimanjaro: Mwalimu ampiga Mwanafunzi hadi kifo

Mimi mwalimu by professional , siwezi kubali mtu mmoja kuitweza taaluma yangu ili-hali mtu huyo kajua kusoma na kuandika kupitia walimu
Kwaiyo hicho ndo kinawapa kiburi Cha kuwaonea na kuwapiga wanafunzi??

Nyie walim baadhi yenu mna visasi vya ajabu sanaa kwa wanafunzi kama kweli wew n mwalimu simamia misingi yako
 
Kwaiyo hicho ndo kinawapa kiburi Cha kuwaonea na kuwapiga wanafunzi??

Nyie walim baadhi yenu mna visasi vya ajabu sanaa kwa wanafunzi kama kweli wew n mwalimu simamia misingi yako
Siungi mkono mauaji lakini inatokea kama bahati mbaya,ni wangapi wanauawa na polisi,wanandoa kuuana!?why teachers only!?
 
Walimu punguzeni hasira... Kuna watoto utawaona ni wazima lakini kabeba kifo. Nguvu kubwa hivyo kumthibiti huyo kichanga wa darasa la kwanza ya Nini? Huu ni ujinga uliopitiliza.
 
hakuna aliyemtuma kuwa mwalimu na chawa wa fiisiiiemuuuu avune alichopanda hakuna namna wanatakiwa wamkamate nayeye wamuue huyo umbwa kabisa.
 
Hayo ni mateso yanayoonekana yasiyoonekana ni mengi zaidi vijana wanateswa wanadhalilishwa halafu ajira hakuna.
 
MWANAFUNZI AMCHOMA MWALIMU KISU HADI KUFA KISA KUAMSHWA NA MWALIMU ALFAJIRI ILI AWAHI IBADA MSIKITINI.
 
Back
Top Bottom