Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 815
- 1,558
Ni mtuhumiwa bado hamna proof unaweza kuta jumba bov limemuangukia kisa aliropoka atamuua na kwa hilo akome mana alivuka mpaka ila unaeza kuta wamemchomekea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatar na nusuManeno tuu hayo
Nikiwaza Kutoka Bomang'ombe, Lawate, Sanyajuu Mpaka Namwai Nguvu Zinaisha KabisaMlio oa huko kazi ipo
Oops OopsWachaga ni viumbe hatari sana.bora uishi na Simba kuliko mchanga hasa wa kibosho
Hehe kikubwa average...... huku wachaga , ukivuka mpaka hapo kwa jirani wakikuyu wana hizo mambo kwa wingi piaHili suala halina uchaga Wala nini.
Wanawake wote kwenye Mali Wana mtazamo unaofanana...
Kwani yule wa Mzee Machache Naye ni mchaga wa wapi?
Wachaga inaonekana Huwa wanafanya bila kificho ila makabila mengine yana mbinu zao za kiroho.
Mimi nimeshuhudia na sisemi uongo hapa, Wanawake wote Duniani Wana mtazamo unaofanana kuhusu Mali, Iwe za mume au za nani...!
Wewe ni "kyasaka" hakukufai pole kwanza wachaga na vyasaka hawachangamani hata wakichangamana hampewi heshima inayostahili kwa sababu ya fikra zenu kama hazi ambazo ni ya utindio wa ubongoNikiwaza Kutoka Bomang'ombe, Lawate, Sanyajuu Mpaka Namwai Nguvu Zinaisha Kabisa
Kawaida na huyo mama alimuua mme wake ili arithi shamba so ile roho ya mauaji hutembea mpaka kizazi cha nne kama maandiko yanavyosema la sivyo mwenye haki ya shamba hilo liwe juu ya damu yakeMwanamke mmoja ajulikanae kwa jina la Rosalia Chuwa mwenye umri wa miaka 59 kutoka katika kijiji cha Utaruni ,mkoani kilimanjaro amemuua mama yake mzazi ajulikanae kwa jina Anastasia Shio mwenye umri wa miaka 89 ili arithi shamba.
Mwenyekiti wa ukoo huo amesema ya kuwa tangu Muda mrefu Rose amekuwa na tamaa ya kurithi shamba hilo na alishasikika akisema kuwa ipo siku atamuua mama yake ili arithi shamba.
Nae dada wa mtuhumiwa ajulikanae kwa jina la Getrude amethibitisha kuwa ni kweli dada yake alishwahi kusema mara kadhaa atamuua mama yake ili arithi shamba hilo.
Mwili wa marehemu baada ya kufanyiwa uchunguzi utazikwa kesho jumatano nyumbani kwake.
Soma Pia:
Kwa mambo kama hayo bora tu kusiwe na heshima,,,,,,,,kumbe huko wauaji na majambazi ndo wanaheshimika ,,ndo maana watu wanakaza msuli ili wakaheshimike dizembaWewe ni "kyasaka" hakukufai pole kwanza wachaga na vyasaka hawachangamani hata wakichangamana hampewi heshima inayostahili kwa sababu ya fikra zenu kama hazi ambazo ni ya utindio wa ubongo