Kilimanjaro: Mwanamke mmoja Amuua mama yake mzazi ili arithi shamba

Ni mtuhumiwa bado hamna proof unaweza kuta jumba bov limemuangukia kisa aliropoka atamuua na kwa hilo akome mana alivuka mpaka ila unaeza kuta wamemchomekea
 
Hili suala halina uchaga Wala nini.

Wanawake wote kwenye Mali Wana mtazamo unaofanana...

Kwani yule wa Mzee Machache Naye ni mchaga wa wapi?

Wachaga inaonekana Huwa wanafanya bila kificho ila makabila mengine yana mbinu zao za kiroho.

Mimi nimeshuhudia na sisemi uongo hapa, Wanawake wote Duniani Wana mtazamo unaofanana kuhusu Mali, Iwe za mume au za nani...!
 
Hehe kikubwa average...... huku wachaga , ukivuka mpaka hapo kwa jirani wakikuyu wana hizo mambo kwa wingi pia
 
Nikiwaza Kutoka Bomang'ombe, Lawate, Sanyajuu Mpaka Namwai Nguvu Zinaisha Kabisa
Wewe ni "kyasaka" hakukufai pole kwanza wachaga na vyasaka hawachangamani hata wakichangamana hampewi heshima inayostahili kwa sababu ya fikra zenu kama hazi ambazo ni ya utindio wa ubongo
 
Kawaida
Kawaida na huyo mama alimuua mme wake ili arithi shamba so ile roho ya mauaji hutembea mpaka kizazi cha nne kama maandiko yanavyosema la sivyo mwenye haki ya shamba hilo liwe juu ya damu yake
 
Wewe ni "kyasaka" hakukufai pole kwanza wachaga na vyasaka hawachangamani hata wakichangamana hampewi heshima inayostahili kwa sababu ya fikra zenu kama hazi ambazo ni ya utindio wa ubongo
Kwa mambo kama hayo bora tu kusiwe na heshima,,,,,,,,kumbe huko wauaji na majambazi ndo wanaheshimika ,,ndo maana watu wanakaza msuli ili wakaheshimike dizemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…