Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
basi ngoja tuoneNasubiri kuona matokeo ya hili.Maana kuna eneo moja mgombea wa Upinzani hajaweka saini hilo eneo kawekewa pingamizi.Sasa nataka nione hukumu zitafanana?
Tutaendelea kuwaanika bila kifichoHahaha amemshika patamu kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ndio wanasema kuwa wanajua kujaza fomu peke yao nchi nzima
Noma na iwe nomaHakuna kulala naona!
Ndiyo aiga ya wabunge wagonga meza BungeniMwandiko wa Mbunge mbaaya kama nini.
Hahaha amemshika patamu kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ndio wanasema kuwa wanajua kujaza fomu peke yao nchi nzima
Tume ya uchaguzi itende haki,maana naona kuna hujuma dhidi ya wagombea wa chama cha mapinduzi.
Hii ndio habari mpya iliyotufikia kwa sasa , Kwamba Sehemu " E " inahusu Tamko la kisheria la Mgombea ubunge , na kwa vile Tadayo hakuisaini maana yake ni kwamba ameshindwa kuthibitisha kuwa anazo sifa za kugombea ubunge kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa 2020 , sehemu "E" haikuwekwa kwenye fomu kama mapambo , ilipaswa kujazwa .
View attachment 1548954
[Muweka pingamizi ameionaje hii fomu ya mwenzake? Kuuliza so ujinga.