Uchaguzi 2020 Kilimanjaro, Mwanga: Henry Kilewo amuwekea pingamizi Mgombea Ubunge wa CCM Joseph Tadayo kwa vile hakusaini sehemu "E"

Uchaguzi 2020 Kilimanjaro, Mwanga: Henry Kilewo amuwekea pingamizi Mgombea Ubunge wa CCM Joseph Tadayo kwa vile hakusaini sehemu "E"

Mbona kujaza fomu imekuwa ishu sana. Hv mtu akapeleka hiyo fomu hata kunakitu kasahau haiwezekani akaambiwa rekebisha kipengele flani afu uilete upya? Tume inapaswa kurekebisha haya Mambo.
Hao wagombea 18 waliopitishwa baada ya wapinzani wao kuondolewa ndio ilikuwa hivi wasimamizi walikuwa wanakagua mapungufu ya fomu za wagombea wapinzani wa ccm tu
Ni vyema Sasa fomu za hata akina kabudi , nape, abood, ndugai, ndejembi, mavunde, na wengine waliojitapa tayari kupitishwa zikaguliwe zinaweza kuwa na makosa kibao
 
Hii ndio habari mpya iliyotufikia kwa sasa , Kwamba Sehemu " E " inahusu Tamko la kisheria la Mgombea Ubunge , na kwa vile Tadayo hakuisaini maana yake ni kwamba ameshindwa kuthibitisha kuwa anazo sifa za kugombea ubunge kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa 2020 , sehemu "E" haikuwekwa kwenye fomu kama mapambo , ilipaswa kujazwa .

View attachment 1548954
Sheria za gizani za Ndugai. Sasa zina wala wao
 
Lawama zielekezwe kwa Mhe. Hakimu aliyemgongea muhuri na yeye kuweka saini yake. Kwanza angemuomba mgombea kwanza kuweka sahihi yake. sijui hapo atajitetea vipi.
Sio kazi ya hakimu kukagua form hakimu anasaini panapomhusu tu
 
Hapana kibinadamu angemtaka kwanza aweke saini ndipo Mhe. Hakimu asaini. Wewe una maana kuwa Mhe. Hakimu aliona ila akapuuzia.
 
Hapana kibinadamu angemtaka kwanza aweke saini ndipo Mhe. Hakimu asaini. Wewe una maana kuwa Mhe. Hakimu aliona ila akapuuzia.

Ndio maana saini zipo kwa mpangilio. Manake wa juu anatakiwa kujaza kikamilifu saini yake ndio wa chini afuate.
 
Uchaguzi ufutwe hadi 2024 utakapo tangazwa na kuandaliwa tena sisi raia ndio tunapendekeza.
Aliye rais atashikilia hadi uchaguzi mwingine utakapoitishwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom