Unajua ungekuwa unasomeka Yaeda tungekutana saa hii maana kuna miundombinu ya kurekebisha pande za nainokanoka kabla sijaingia twn ila nitakufuata hapo Lokki mradi tufanye uharibifu, kaa mkao mhandisi πΆππ’πFanya hima mhandisi.......line ipo wazi sana......
Unajua ungekuwa unasomeka Yaeda tungekutana saa hii maana kuna miundombinu ya kurekebisha pande za nainokanoka kabla sijaingia twn ila nitakufuata hapo Lokki mradi tufanye uharibifu, kaa mkao mhandisi πΆππ’π
Kuzijua fursa na vipaji in vitu viwili tofauti.Happynyerereday to everyone
Kilimanjaro na Arusha ni mikoa ambayo imebarikiwa vipaji vya Kila aina na watu ambao Wana ushawishi mkubwa sana katika nchi hii ya Tanzania
Mada hii itajikita zaidi katika katika music industry , Media na bongo movie industry (entertainment)
Producers
1) Master j
2) Dx
3) Nah reel
4) Chizan brain
Artists
Hip-hop
1) Joh makini
2) Nikki wa pili
3) Langa kileo
4) One the incredible
5) mabeste
6) bilnass
7) Rosa ree
8) King kapita ( It by proffesional)
9)salmin swag (OMG)
10)nay wa mitego
11) Mh temba
12) Lord eyez
13) g-nako
14) Bou nako
14) Stoper ryme
15) Dogo janja
16) Montra the future
17) Chin beez
18) jambo squad
19) jcb
20) chindoman
21) Chaba
22) Lard fire
23) Gentriez
24) Rafu mc
25) Ibra da hustler
26) Fido vatoloko
27) Roma
28) Dark master
29) Father neli ( X-plastaz)
30) Maujanja supply (Kulwa na dotto)
Singers
1) Mr nice
2) Barnaba boy classic
3) Vanessa mdee
4) Mimi Mars
5) Nandy
6) Haika (navykenzo)
7) Snura mushi (singeli)
8) Walter chilambo
9) Maua sama
10) Whozu
11) Rama dee
12) Wildad agripa
Bongo movies
1) Elizabeth michael (Lulu)
2) Irene uwoya
3) Irene Paul
4) Diana kimary
5)Sabrina rupia
6) Jackline wolper
Comedians
1) Katarina
2) Mr beneficial
3) Idris sultan
4) Kiwewe
5)Masawe mtata
Presenters
1)Milad-ayo
2) Sammisago
3)b-dozen
4) Adamchomvu
5) kenedy the remedy
6)jonijo
7) Ana Peter
8) Frida amani
DJ's
1) Dj summer
2) Dj mavufu
3) Dj d ommy
Video vixen
1) Cappuccino Tunda
Kilimanjaro na Arusha are best regions in this country katika entertainment Industry...
Happy nyerere day to everyone.....halla .....
ChatoNi wap huko ambako hawajabarikiwa na vipaji vya kila aina????
Ukabila huuu
Mbona huelewek unazunguka tuu ..... Hoja yako ni ipiHivi kwanini watu wa huko wanapenda kuiweka hii mikoa kama mkoa mmoja? Kwanini kila mkoa usijivunie vipaji vyakevya mkoa husika mpaka muunganishe halafu ndio mseme vipaji kutoka huko? Kwanini isiwepo list pekee inayojitegemea ya vipaji vya Arusha na nyingine vya Kilimanjaro..mikoa mingine ingekuwa inafanya hivyo hakika mwisho wa siku tungeona Kaskazini kwa vipaji si chochote si lolote mfano Tusem Morogoro,Pwani na Dar es salaam ina vipaji vingi au Kigoma na Rukwa au Lindi na Mtwara..au tuje Mwanza na Mara na shinyanga tuunganishe tuseme mikoa hii ina vipaji vingi...watu wa Arusha na Kilimanjaro wanahisi kama wapi mkoa mmoja vile
Kuzijua fursa na vipaji in vitu viwili tofauti.
Vipaji vipo:
Kigoma
Mbeya
Sukuma yote mitatu
Pwani.
Wachaga kila kitu kwao ni fursa hapo wamejaliwa ila sio vipaji.
Sijaona FOOTBALL na ndo nlikuwa nasubiriHappynyerereday to everyone
Kilimanjaro na Arusha ni mikoa ambayo imebarikiwa vipaji vya Kila aina na watu ambao Wana ushawishi mkubwa sana katika nchi hii ya Tanzania
Mada hii itajikita zaidi katika katika music industry , Media na bongo movie industry (entertainment)
Producers
1) Master j
2) Dx
3) Nah reel
4) Chizan brain
Artists
Hip-hop
1) Joh makini
2) Nikki wa pili
3) Langa kileo
4) One the incredible
5) mabeste
6) bilnass
7) Rosa ree
8) King kapita ( It by proffesional)
9)salmin swag (OMG)
10)nay wa mitego
11) Mh temba
12) Lord eyez
13) g-nako
14) Bou nako
14) Stoper ryme
15) Dogo janja
16) Montra the future
17) Chin beez
18) jambo squad
19) jcb
20) chindoman
21) Chaba
22) Lard fire
23) Gentriez
24) Rafu mc
25) Ibra da hustler
26) Fido vatoloko
27) Roma
28) Dark master
29) Father neli ( X-plastaz)
30) Maujanja supply (Kulwa na dotto)
Singers
1) Mr nice
2) Barnaba boy classic
3) Vanessa mdee
4) Mimi Mars
5) Nandy
6) Haika (navykenzo)
7) Snura mushi (singeli)
8) Walter chilambo
9) Maua sama
10) Whozu
11) Rama dee
12) Wildad agripa
Bongo movies
1) Elizabeth michael (Lulu)
2) Irene uwoya
3) Irene Paul
4) Diana kimary
5)Sabrina rupia
6) Jackline wolper
Comedians
1) Katarina
2) Mr beneficial
3) Idris sultan
4) Kiwewe
5)Masawe mtata
Presenters
1)Milad-ayo
2) Sammisago
3)b-dozen
4) Adamchomvu
5) kenedy the remedy
6)jonijo
7) Ana Peter
8) Frida amani
DJ's
1) Dj summer
2) Dj mavufu
3) Dj d ommy
Video vixen
1) Cappuccino Tunda
Kilimanjaro na Arusha are best regions in this country katika entertainment Industry...
Happy nyerere day to everyone.....halla .....
Coz ma top wote DIAMOND na ALLY are from thereMmmh kuhusu suala la burudani in general tunaanza na kigoma tofauti na hapo ni ubatili
Mzamiru yassin....nadhan ungeweka mikoa yote afu sisi ndo tuseme...by the way ROMA anajinasibisha na TANGA sijajua umechukua kigezo gani kumuweka ulipomuweka.Mkuu nimebase kwenye entertainment industry as whole...kigoma ni wasanii tuu labda na mpira kwa Juma kaseja
Quality vs Quantity...kwa mujibu wako wengi wanatokea huko ila bora si watu Wa huko
[emoji654]diamondplatnumz
[emoji654]alikiba
[emoji654]gabo zigamba
[emoji654]fidq
[emoji654]nikki mbishi
[emoji654]mwana fa
[emoji654]young killer
[emoji654]jay more
[emoji654]p funk
[emoji654]lady jay Dee
[emoji654]professor Joseph haule (pro jay) na wengine wengi Sana unaweza kuongezea
Jaribu tuone...hawa majamaa wakabila Kweli hebu mskie huyu "ETI TUNAWEZA SIMAMA SISI KAMA SISI" rudini Huko mkafanye kazi zenu mbna mnang'ang'ania mikoa ya watu kama mnahisi nyny zaidiInawezekana wakawa cio bora Ila nnachojivunia ni kuwa tume cover entertainment industry kwa ujumla Yan kaskazini tunaweza tukasimama sisi km sisi na tukawakilisha vyema
Naanza kuamini maneno ya NYERERE JUU YA HAWA WATU...."ETI SISI KAMA SISI"...stupidkusimama ninyi Kama ninyi kivipi? Kwanini nyie watu mnapenda hizi mambo za ukanda ? Na sijui lowassa angeshika hii inchi ingekuwaje nyie RAIA wabaguzi sana
Unavyosema tunaweza simama " SISI KAMA SISI" what u mean...acha upuuziWapi Mimi onyesha ukanda .... Me nimejaribu kuonyesha vipaji tulivyobarikiwa watu wa kaskazini ....
Na hawanaga huu upuuzi alopost jamaa...diamond au Ali kiba angekuwa Wa kutoka huko kwao tungekoma'Kuna wasanii wengi wenye asili ya Kigoma kama Diamond, Ali Kiba, Mrisho Mpoto na wengine wengi na huwezi kuwa msanii mzuri kama huna asili ya Kigoma,'' na haya yamedhihirishwa hata na kauli ya Mbunge Nswanzingwanko .. angalia pia top artists wanaoiwakilisha bongo kwa ujumla ni wa zile zile pande za mwisho wa reli..
Wengine kawataja hata wimbo wao mmoja hatuujuiKigoma ni habar nyingine :mtua post inabd uwe mpole tu wasanii wachuga hawana impact yoyote
"Naunga mkono"...kuna jamaa alisikika"raisi hawezi toka kasikazini"
Nime iskia mahala frani hii