Kilimanjaro na Arusha mikoa iliyobarikiwa vipaji vya kila aina

Kilimanjaro na Arusha mikoa iliyobarikiwa vipaji vya kila aina

Fanya hima mhandisi.......line ipo wazi sana......
Unajua ungekuwa unasomeka Yaeda tungekutana saa hii maana kuna miundombinu ya kurekebisha pande za nainokanoka kabla sijaingia twn ila nitakufuata hapo Lokki mradi tufanye uharibifu, kaa mkao mhandisi 🕶👜👢💄
 
yaani mhandisi nimesha pasi nguo kabisa........ipo hapa tayari........ndula nimeshaikalisha na kiwi.....mambo ni yechuyechu......😜
 
Happynyerereday to everyone

Kilimanjaro na Arusha ni mikoa ambayo imebarikiwa vipaji vya Kila aina na watu ambao Wana ushawishi mkubwa sana katika nchi hii ya Tanzania

Mada hii itajikita zaidi katika katika music industry , Media na bongo movie industry (entertainment)

Producers
1) Master j
2) Dx
3) Nah reel
4) Chizan brain

Artists

Hip-hop
1) Joh makini
2) Nikki wa pili
3) Langa kileo
4) One the incredible
5) mabeste
6) bilnass
7) Rosa ree
8) King kapita ( It by proffesional)
9)salmin swag (OMG)
10)nay wa mitego
11) Mh temba
12) Lord eyez
13) g-nako
14) Bou nako
14) Stoper ryme
15) Dogo janja
16) Montra the future
17) Chin beez
18) jambo squad
19) jcb
20) chindoman
21) Chaba
22) Lard fire
23) Gentriez
24) Rafu mc
25) Ibra da hustler
26) Fido vatoloko
27) Roma
28) Dark master
29) Father neli ( X-plastaz)
30) Maujanja supply (Kulwa na dotto)

Singers
1) Mr nice
2) Barnaba boy classic
3) Vanessa mdee
4) Mimi Mars
5) Nandy
6) Haika (navykenzo)
7) Snura mushi (singeli)
8) Walter chilambo
9) Maua sama
10) Whozu
11) Rama dee
12) Wildad agripa

Bongo movies
1) Elizabeth michael (Lulu)
2) Irene uwoya
3) Irene Paul
4) Diana kimary
5)Sabrina rupia
6) Jackline wolper

Comedians
1) Katarina
2) Mr beneficial
3) Idris sultan
4) Kiwewe
5)Masawe mtata

Presenters
1)Milad-ayo
2) Sammisago
3)b-dozen
4) Adamchomvu
5) kenedy the remedy
6)jonijo
7) Ana Peter
8) Frida amani

DJ's
1) Dj summer
2) Dj mavufu
3) Dj d ommy

Video vixen
1) Cappuccino Tunda

Kilimanjaro na Arusha are best regions in this country katika entertainment Industry...

Happy nyerere day to everyone.....halla .....
Kuzijua fursa na vipaji in vitu viwili tofauti.
Vipaji vipo:
Kigoma
Mbeya
Sukuma yote mitatu
Pwani.
Wachaga kila kitu kwao ni fursa hapo wamejaliwa ila sio vipaji.
 
Hivi kwanini watu wa huko wanapenda kuiweka hii mikoa kama mkoa mmoja? Kwanini kila mkoa usijivunie vipaji vyakevya mkoa husika mpaka muunganishe halafu ndio mseme vipaji kutoka huko? Kwanini isiwepo list pekee inayojitegemea ya vipaji vya Arusha na nyingine vya Kilimanjaro..mikoa mingine ingekuwa inafanya hivyo hakika mwisho wa siku tungeona Kaskazini kwa vipaji si chochote si lolote mfano Tusem Morogoro,Pwani na Dar es salaam ina vipaji vingi au Kigoma na Rukwa au Lindi na Mtwara..au tuje Mwanza na Mara na shinyanga tuunganishe tuseme mikoa hii ina vipaji vingi...watu wa Arusha na Kilimanjaro wanahisi kama wapi mkoa mmoja vile
 
Mbona huelewek unazunguka tuu ..... Hoja yako ni ipi
 
Happynyerereday to everyone

Kilimanjaro na Arusha ni mikoa ambayo imebarikiwa vipaji vya Kila aina na watu ambao Wana ushawishi mkubwa sana katika nchi hii ya Tanzania

Mada hii itajikita zaidi katika katika music industry , Media na bongo movie industry (entertainment)

Producers
1) Master j
2) Dx
3) Nah reel
4) Chizan brain

Artists

Hip-hop
1) Joh makini
2) Nikki wa pili
3) Langa kileo
4) One the incredible
5) mabeste
6) bilnass
7) Rosa ree
8) King kapita ( It by proffesional)
9)salmin swag (OMG)
10)nay wa mitego
11) Mh temba
12) Lord eyez
13) g-nako
14) Bou nako
14) Stoper ryme
15) Dogo janja
16) Montra the future
17) Chin beez
18) jambo squad
19) jcb
20) chindoman
21) Chaba
22) Lard fire
23) Gentriez
24) Rafu mc
25) Ibra da hustler
26) Fido vatoloko
27) Roma
28) Dark master
29) Father neli ( X-plastaz)
30) Maujanja supply (Kulwa na dotto)

Singers
1) Mr nice
2) Barnaba boy classic
3) Vanessa mdee
4) Mimi Mars
5) Nandy
6) Haika (navykenzo)
7) Snura mushi (singeli)
8) Walter chilambo
9) Maua sama
10) Whozu
11) Rama dee
12) Wildad agripa

Bongo movies
1) Elizabeth michael (Lulu)
2) Irene uwoya
3) Irene Paul
4) Diana kimary
5)Sabrina rupia
6) Jackline wolper

Comedians
1) Katarina
2) Mr beneficial
3) Idris sultan
4) Kiwewe
5)Masawe mtata

Presenters
1)Milad-ayo
2) Sammisago
3)b-dozen
4) Adamchomvu
5) kenedy the remedy
6)jonijo
7) Ana Peter
8) Frida amani

DJ's
1) Dj summer
2) Dj mavufu
3) Dj d ommy

Video vixen
1) Cappuccino Tunda

Kilimanjaro na Arusha are best regions in this country katika entertainment Industry...

Happy nyerere day to everyone.....halla .....
Sijaona FOOTBALL na ndo nlikuwa nasubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa mujibu wako wengi wanatokea huko ila bora si watu Wa huko
[emoji654]diamondplatnumz
[emoji654]alikiba
[emoji654]gabo zigamba
[emoji654]fidq
[emoji654]nikki mbishi
[emoji654]mwana fa
[emoji654]young killer
[emoji654]jay more
[emoji654]p funk
[emoji654]lady jay Dee
[emoji654]professor Joseph haule (pro jay) na wengine wengi Sana unaweza kuongezea
Quality vs Quantity...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana wakawa cio bora Ila nnachojivunia ni kuwa tume cover entertainment industry kwa ujumla Yan kaskazini tunaweza tukasimama sisi km sisi na tukawakilisha vyema
Jaribu tuone...hawa majamaa wakabila Kweli hebu mskie huyu "ETI TUNAWEZA SIMAMA SISI KAMA SISI" rudini Huko mkafanye kazi zenu mbna mnang'ang'ania mikoa ya watu kama mnahisi nyny zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'Kuna wasanii wengi wenye asili ya Kigoma kama Diamond, Ali Kiba, Mrisho Mpoto na wengine wengi na huwezi kuwa msanii mzuri kama huna asili ya Kigoma,'' na haya yamedhihirishwa hata na kauli ya Mbunge Nswanzingwanko .. angalia pia top artists wanaoiwakilisha bongo kwa ujumla ni wa zile zile pande za mwisho wa reli..
Na hawanaga huu upuuzi alopost jamaa...diamond au Ali kiba angekuwa Wa kutoka huko kwao tungekoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom