TRA Tanzania
Senior Member
- Jul 16, 2022
- 128
- 370
Watumishi wa TRA nane (8) wameshiriki kupanda mlima Kilimanjaro mwaka huu katika kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika. TRA imedhamiria kupeleka ujumbe, ulipaji wa kodi ni wajibu wa kila mwananchi mwenye kipato kwa maendeleo ya taifa na kwamba inalipwa kwa hiari na kwa uwajibikaji.