Kilimanjaro: Waendesha bodaboda wamwaga chakula msibani, wadai marehemu alikuwa ananyimwa msosi

Hakika bange haijawahi kumwacha mtu salama kabisaa, kwani waombolezaji wanahusikaje na kifo cha huyo kijana! [emoji848][emoji848]
R I P Kijana
Mnakula-kula ili iweje kama marehemu kafa kwa njaa??
 
Kwanini hawakuita polisi iwakamate?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…