Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Kuna vijiji vijana wanaweza kuwachezea wazee vipo vijiji vingine hiyo dharau kwa Wazee haipo maana hata boda boda wasingeweza kuzipanda...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee umenichekesha sana 🤣🤣🤣🤣Mimi mwenyewe ningevumilia chakula lakini pombe hapana kwani Biblia inasema Mpe maskini pombe asahau shida zake
tubwi !!!Huko ndo kwao kina Jane Lowassa
Na raha ya milele umpe.Mwanga wa milele umwangazie eeh Bwana
[emoji23][emoji23][emoji23]Dah chakula ningewavumilia ila mbege dahh
Yesu mwenyewe alibadili maji kuwa mvinyo anajua umuhimu wake
Imagine wanamwaga mbege
Jambo kamahili laweza kutokea mahali popote duniani, haijalishi asili ya hawa raia.Wachagga wanapita Kimiaaaaaa kama hili la aibu kubwa haliwahusu, naona UTV wamerusha hili tukio ni aibu sana Wachagga kumbe mu wachoyo.
Zile za private zinaweza pia kuwa ukunga? 🤣🤣🤣🤫🤫🤫🤫
- Kupiga kelele zenye kudraw attention (shouting)
- kupiga yowe.
- kupiga ndulu.
Hapana baby 😀😀Zile za private zinaweza pia kuwa ukunga? 🤣🤣🤣🤫🤫🤫🤫
Zinaongeza mzuka eeh?Hapana baby 😀😀
Ukunga unaogofya ila zile... 😋
Yap ila sifahamu kwa Me wengine si unajua tena inshu za one man's treasure is.....Zinaongeza mzuka eeh?
Wajue kuna mziki mnene. LolYap ila sifahamu kwa Me wengine si unajua tena inshu za one man's treasure is.....
Binafsi napenda sauti iwe ya chini kiasi (standard) siyo ile ya mpaka majirani wajue humu kuna.....
Karucee please make it low, napenda sana 😋