Kilimanjaro: Waliohusishwa na utekaji wa watu na kujitambulisha kama Usalama wa Taifa watiwa mbaroni

Kuna jambo kubwa sana linatokea Hii si kawaida hata kidogo....muda utasema
 
Kama na huyo Sabaya anafanya hivyo ni rahisi kumubana kwa kutumia ushahidi wa nyuma, Nina ndugu zangu usalama wa Taifa huwa hawajitangazi kabisa tena nimewahi kuishi kwenye nyumba zao za ofisi lakini hata majirani tulikuwa tunawabishia Sasa hao usalama wa kufoji ndo wanajitapa ili kufanya unyanganyi.
 
Miongoni mwa mateso hayo ni kuingiziwa mti sehemu ya haja kubwa, kuminywa korodani kwa koleo, kujaribu kuwang’oa meno kwa koleo, mmoja kukatwa sikio na wote kuteswa kwa kupigwa na shoti ya umeme.
Hii ni Bongo ya sasa au ni South Africa ya enzi ya Apartheid?
 
Yeye anapewa hela za usajili anaenda kumsainisha Joseph selasini?
Yeremia Maganja?

Hawapati mbunge hata moja hawa Nccr mageuzi pia Cuf
Lakini mkuu yeye hana makosa sana. Magufuli alipiga mahesabu yake vibaya. Alidhani upinzani hakuna. Alikuwa anaandaa upinzani fake wa akina Mbatia na Lipumba ili ashinde na kutawala kilaini. Hakujua kabisa kabisa kama anachukiwa na wananchi wengi kiasi hiki. Umeona mpaka nyumbani kwake Chato Lissu amepata umati mkubwa? Kanda yote ya Ziwa hawampendi. Hii itafanya hata uchakachuaji uwe mgumu wakati wa kuhesabu kura na pia anahofia wakichakachua watu wanaweza kukinukisha.
 
Amri toka juu ita waachia. Hamna kesi hapo.. Ccm iko hoi... Tumemsikia hata Baba la baba anasema vyama vyenye rangi nyekundu ni vyama vya vita.. Huyo mi rais wa nchi anae jua maana ya ya bendera..
 
Safi sana police wetu. Wachunguzwe waeleze kila kitu na wengine wanaohusika wakamatwe woteee
Hao wahalifu ni wakutoka kanda pendwa wametumwa kutesa watu wa Kilimanjaro
 
Hapo kwa mbatia wamebugi stepu. Ingekuwa amefanyiwa kiongozi wa chadema wasingekamatwa na wangeendelea kupewa jina zuri la wasiojulikana
 
TISS ukikamatwa lazima wakukane. Hata Sabaya walimkana kipindi kile akiwa Arusha.

Swali kwenu TISS kwanini mmemgeuka Mbatia? Huyu mtu aliwasaidia kumchafua Mbowe na CHADEMA ila sasa mmekosa shukrani.

Kuteka na kuua watanzania wenzenu ndio kazi mnayoiweza TISS. Shame on you!
 
Diversion Move. Badly calculated propaganda.
 
Wao
Hapo kwa mbatia wamebugi stepu. Ingekuwa amefanyiwa kiongozi wa chadema wasingekamatwa na wangeendelea kupewa jina zuri la wasiojulikana
Waongo wanazuga na hakuna watakachofanywa. Huyo mbatia ametumika tena.
 
Ni kweli kumekua na utaratibu wa kila office ya CCM za kila mtaa kuandaa costa zinazotosheleza wanachama wake kuwapeleka kwenye shughuli za kichama na kuwarudisha majumbani
Wamejipanga kweli kweli
Duh basi Kawe wana hela kwani wamejipanga hasa mwaka huu
kuna sehemu leo Ukerewe na Chato watu wamejikusanya kwa kutumia usafiri wa miguu na mitumbwi bila mabango wala jezi, tena wametandika khanga zao na vitenge mwanakondoo apite
 
Hapo hamna kitu hiyo ni zuga tu ya polisi na Mbatia wamehusika wote.
 
Safi sana police wetu. Wachunguzwe waeleze kila kitu na wengine wanaohusika wakamatwe woteee
Mama D usiwaamini hao watu kipindi hiki. Wanatuzuga tu na maigizo yao. Uhalifu hakisi umefanyika juzi nyumbani kwa Rais Chato penye ulinzi mkali na hakuna kilichofanyika. Usiku wa kuamkia tar 13 kulikuwa na vitendo uvamizi kwa mgombea wa chadema na uharibifu wa mali ikiwemo nyumba. Matukio hayo yalitosha kwa jeshi la polisi kuhakikisha ulinzi wa ziada kwenye hilo eneo. Cha ajaaba mchana uliofata msafara wa mgombea urais umepigwa mawe na mapigano kutoka vikundi vinavyoonekana kupangwa na polisi wakiwa hapo hapo bila kuchukua hatua yoyote.

NB: mbatia anatumika kwenye maigizo.
 
Hii habari imefikaje kwenye public domain? Maana yake bila chembe ya shaka chama cha mapinduzi kina vikundi vya kigaidi, kutesa na kuua watu

Imekuwaje habari hii haijazuiwa kutoka?
Kuna jambo gani limepangwa?

Sina imani na polisi lakini hili linanifanya niwaze mara mbili

Huyu Mungu huyu, mnayofanya gizani sasa yanaonekana nuruni

Bado kitambo kidogo tu sasa tutaanza kuheshimiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…