Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Ramani si huwa wanakodisha makatapila??Mbunge Dr Mathayo David, wa Same ,Yuko CHUNYA, eneo la makongorosi, anachimba Dhahabu( Ramani Investment ( na mbunge mwezake wa Hai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ramani si huwa wanakodisha makatapila??Mbunge Dr Mathayo David, wa Same ,Yuko CHUNYA, eneo la makongorosi, anachimba Dhahabu( Ramani Investment ( na mbunge mwezake wa Hai.
Kichwa anacho?Hukusoma kichwa cha habari
Hili Jina la huyu mbunge sijawahi kulisikia huko mjengoni hata mchango wa Aina yeyote hajawahi kutoa.Katika ziara ya Mwenezi wa CCM, Paul Makonda Wananchi jimbo la Same wameonesha kutokuwa na imani na mbunge wao, ambapo wamedai kuwa mbunge huyo amekuwa akirudisha nyuma maendeleo ya jimbo hilo hasa kwa kuwagawa vijana na watu. Wamemnukuu Hayati Nyerere kuwa ili maendeleo yawepo lazima kuwepo na SIASA SAFI, lakini mbunge huyo amekuwa chanzo cha kukwamisha maendeleo.
Wananchi hao wameendelea kudai kuwa mbunge wao huyo amekuwa haonekani bungeni jambo ambalo linawapa wasiwasi wananchi hao. ''Hapa tuna Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi hatuna Mbunge, Jimboni hayupo na Bungeni Hayupo anawagawa wananchi"
View attachment 2879588
Huyo Mbunge kachoka hata yeye Wala hana Mpango wa Kugombea tena anamalizia maokoto yake tuu Kwa nini ajitese?Katika ziara ya Mwenezi wa CCM, Paul Makonda Wananchi jimbo la Same wameonesha kutokuwa na imani na mbunge wao, ambapo wamedai kuwa mbunge huyo amekuwa akirudisha nyuma maendeleo ya jimbo hilo hasa kwa kuwagawa vijana na watu. Wamemnukuu Hayati Nyerere kuwa ili maendeleo yawepo lazima kuwepo na SIASA SAFI, lakini mbunge huyo amekuwa chanzo cha kukwamisha maendeleo.
Wananchi hao wameendelea kudai kuwa mbunge wao huyo amekuwa haonekani bungeni jambo ambalo linawapa wasiwasi wananchi hao. ''Hapa tuna Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi hatuna Mbunge, Jimboni hayupo na Bungeni Hayupo anawagawa wananchi"
View attachment 2879588
Aliwahi kuwa Waziri/NW na hana Mpango wa Ubunge tena alishachoka kufanya siasa.Hili Jina la huyu mbunge sijawahi kulisikia huko mjengoni hata mchango wa Aina yeyote hajawahi kutoa.
Mimi sio muumini wa siasa sana ila huwa nasikiza sana bunge michango yao!
Bumge hatuna kabisa la Hovyo mno na ukizingatia Kuna wabunge feki!!
Wapinzani watafanya nini Sasa maana hakuna siku watapata Serikali hivyo Wananchi wanajua wapi wapeleke shida zao.CCM hii style ya BASHITE itazidi kuwachafua..UPINZANI wakituliza kichwa wakaidaka na kuifanyia kazi,MMEKWISHA!