Pre GE2025 Kilimanjaro: Wananchi Same wamkataa mbunge David Mathayo, wasema haonekani jimboni na bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hili Jina la huyu mbunge sijawahi kulisikia huko mjengoni hata mchango wa Aina yeyote hajawahi kutoa.
Mimi sio muumini wa siasa sana ila huwa nasikiza sana bunge michango yao!
Bumge hatuna kabisa la Hovyo mno na ukizingatia Kuna wabunge feki!!
 
Huyo Mbunge kachoka hata yeye Wala hana Mpango wa Kugombea tena anamalizia maokoto yake tuu Kwa nini ajitese?

Mathayo ana miaka zaidi ya 20 kwenye Ubunge
 
Hili Jina la huyu mbunge sijawahi kulisikia huko mjengoni hata mchango wa Aina yeyote hajawahi kutoa.
Mimi sio muumini wa siasa sana ila huwa nasikiza sana bunge michango yao!
Bumge hatuna kabisa la Hovyo mno na ukizingatia Kuna wabunge feki!!
Aliwahi kuwa Waziri/NW na hana Mpango wa Ubunge tena alishachoka kufanya siasa.
 
CCM hii style ya BASHITE itazidi kuwachafua..UPINZANI wakituliza kichwa wakaidaka na kuifanyia kazi,MMEKWISHA!
Wapinzani watafanya nini Sasa maana hakuna siku watapata Serikali hivyo Wananchi wanajua wapi wapeleke shida zao.

Mbowe alikuwa Rukwa akaambiwa wanavamiwa aliasaidia Kwa lipi? Makonda anaweza mpigia simu yeyote na akatoa majibu.

Makonda akilalamika Rais anatengua na Rais kampa hiyo kazi baada ya kuona Wasaidizi wanadanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…