Kilimanjaro: Wazazi wa wanafunzi wa shule za kata wilayani Hai kubambuliwa mifugo yao kwa lazima ili kulipia ada

Kilimanjaro: Wazazi wa wanafunzi wa shule za kata wilayani Hai kubambuliwa mifugo yao kwa lazima ili kulipia ada

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Serikali imekuwa ikitangaza kila wakati kuwa shule za kata ni bure na hakuna malipo yoyote.

Hali ni tofauti kabisa
Mkoani Kilimanjaro kwani shule hizo zimekuwa zikilipisha wazazi hela ya ada kiasi cha shilingi elf 70 kwa kila mtoto, pamoja na mchango wa mahindi na maharage kila mwaka.

Baadhi ya wazazi wa wanafunzi wa shule za kata zilizopo machame mashariki wamailalamikia kitendo cha uongozi wa vijiji kwa kushirikiana na uongozi wa shule kupita nyumba kwa nyumba kuchukua mifugo yao kama vile mbuzi,Nguruwe.

Ng'ombe na hata mali nyingine za nyumbani kama vile bati, godoro nk kwa wale wazazi wote walioshindwa kulipa ada za watoto wao.
 
Back
Top Bottom