Serikali kupitia Benki ya kilimo Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) imeweza kuwa mdau mkubwa kuwezesha mabenki kutoa mikopo kwa wakulima kutoka Benki mbili zinazotoa mikopo kwa wakulima hivi sasa kufikia 14.
BAJETI YA KILIMO
Serikali imeweza kuongeza bajeti ya huduma za Ugani kutoka TZS bilioni 17.7 hadi TZS bilioni 51.45, kuongeza fedha za uzalishaji wa mbegu kutoka TZS bilioni 5.42 hadi TZS bilioni 10.58, sambamba na kuongeza bajeti hiyo, Rais amewezesha NFRA na Bodi ya Mazao Mchanganyiko kwa jumla ya TZS bilioni 129 ili waweze kufanya kazi zao vizuri.
KILIMO NI BIASHARA PIA KILIMO NI AJIRA ndio maana serikali ya awamu ya sita imekipa kilimo kipaumbele