BARA BARA YA 5
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,174
- 835
Marketing strategy tu..pia Masasi ni mbali sanaUku masasi kunamaembe kama takataka yakujiokotea tu ww unakoma uku yanajidondokea tu
Good.Katika hekaheka za kujiandaa kustaafu miaka 7 baadae nimeamua nipande miche kama 500 yaani ekari 10 za maembe kisasa.
Shamba lipo Tabora kwa sasa naendelea kuchimba mashimo. Nitapanda bila mbolea ya samadi ila taweka NPK baada ya miezi 3 ikiwa imeshika.
Mpango wangu miche 450 ipone ili nipate wastani wa embe 500 kila mti mwaka wa 6 na hii itanipa embe 225,000 na kama tauza kwa Tzs 400 nipate 90m.Hapo nitaamua kustaafu kazi nikiwa na miaka 55.
Ushauri mzuri, kwenye kienyeji ni kweli ila tunataka tuwahi kurejesha capital. Kuhusu kupunguzia nakubaliana na wewe.Good.
Ila mi nashauri upande na ya kienyeji ila uyapande kisasa. Mfano embe bolibo na embe dodo ni maembe mazuri yanayopendwa Tanzania.
Kitu kingine kwa uzoefu wangu wa kupanda miti ya matunda, ili upate idadi ya miti uliokusudia zidisha miche halafu ikishika ikikua una punguza miti na kubakiza idadi unayotaka.
heka badala ya miche 80 panda 100.
Miti mpaka ije ifungane unakuwa ushavuna mara kadhaa ndio unaipunguza.
Hivi hakuna njia ya kitaalam yakufanya maembe yaive katka msimu tofaut na huu wa kawaida ili mtu apge pesa kivyake vyakesoko la ndani au la nje? ,aina ya maembe ?itakuwa vita kweli kweli jipange
Napanda mvua za mwanzo kabisa ambapo itapata maji kwa zaidi ya miezi 7Vp kuhusu umwagiliaji umejipangaje
Nimejitahidi kuipata imekuwa ngumu,Taweka NPK kwanza baadae tajitahidi niwke samadiNasahauri jitahidi upate mbolea ya samadi ni muhimu sana
Hii ya kienyeji inachukua muda gani hadi kuanza kuzaa tofauti na ya kisasa inayozaa baada ya miaka 3Good.