Mkuu hayo ya kienyeji nayo siku hizi yanaharibiwa sana na waduduMiembe ya kisasa inahitaji sana dawa ili update embe nzuri. Nakushauri panda ya kienyeji. Nina miembe ya kienyeji ya Maembe dodo ni matamu na makubwa balaa. Situmii dawa yoyote na ninavuna Maembe kila mwaka pia yana soko kubwa ukienda sokoni
Mti wowote wa matunda wa kienyeji bila kubadi ni miaka 5 mpaka 7. Mti wa kienyeji ukiubadi utazaa muda ule ule kama miti ya kisasa ( miaka 3). Kumbuka unapobadi mti unachukua tawi la mti ulioanza kuzaa miaka hata mitatu mfululizo. Hii miti ya kienyeji unatoa tawi kwenye miti ya asili.Hii ya kienyeji inachukua muda gani hadi kuanza kuzaa tofauti na ya kisasa inayozaa baada ya miaka 3
Bila picha huu Uzi ni batili..Katika hekaheka za kujiandaa kustaafu miaka 7 baadae nimeamua nipande miche kama 500 yaani ekari 10 za maembe kisasa.
Shamba lipo Tabora kwa sasa naendelea kuchimba mashimo. Nitapanda bila mbolea ya samadi ila taweka NPK baada ya miezi 3 ikiwa imeshika.
Mpango wangu miche 450 ipone ili nipate wastani wa embe 500 kila mti mwaka wa 6 na hii itanipa embe 225,000 na kama tauza kwa Tzs 400 nipate 90m.Hapo nitaamua kustaafu kazi nikiwa na miaka 55.
Kwa hii project jipange kufuga wanyama. Samadi siku hizi ni ghali ssna hasa baada ya kilimo cha matunda kushika kasi.Nimejitahidi kuipata imekuwa ngumu,Taweka NPK kwanza baadae tajitahidi niwke samadi
Shukurani mkuuMti wowote wa matunda wa kienyeji bila kubadi ni miaka 5 mpaka 7. Mti wa kienyeji ukiubadi utazaa muda ule ule kama miti ya kisasa ( miaka 3). Kumbuka unapobadi mti unachukua tawi la mti ulioanza kuzaa miaka hata mitatu mfululizo. Hii miti ya kienyeji unatoa tawi kwenye miti ya asili.
Hivi hakuna njia ya kitaalam yakufanya maembe yaive katka msimu tofaut na huu wa kawaida ili mtu apge pesa kivyake vyake
Changanya na limao
Katika hekaheka za kujiandaa kustaafu miaka 7 baadae nimeamua nipande miche kama 500 yaani ekari 10 za maembe kisasa.
Shamba lipo Tabora kwa sasa naendelea kuchimba mashimo. Nitapanda bila mbolea ya samadi ila taweka NPK baada ya miezi 3 ikiwa imeshika.
Mpango wangu miche 450 ipone ili nipate wastani wa embe 500 kila mti mwaka wa 6 na hii itanipa embe 225,000 na kama tauza kwa Tzs 400 nipate 90m.Hapo nitaamua kustaafu kazi nikiwa na miaka 55.
Unapoteza muda ndugu, ungetuuliza tuliozaliwa na kukulia Tabora kabla ya kuingia gharama zote hizi ikitarajia mapato hewa hewa (ya kwenye makaratasi).Mpango wangu miche 450 ipone ili nipate wastani wa embe 500 kila mti mwaka wa 6 na hii itanipa embe 225,000 na kama tauza kwa Tzs 400 nipate 90m.Hapo nitaamua kustaafu kazi nikiwa na miaka 55.
Embe haliuzwi sh 200, hiyo ni bei ya kiroba cha maembehio bei ya kuuzia si kweli..weka chini kabisa ya hapo kama 200tsh
Kwa nini alikimbie?Tunaomba wenye uzoefu wa mkoa/mikoa mingine mfano Pwani au Tanga kuhusu soko la maembeHilo shamba mpaka utalikimbia
Kama sio mtu wa kibla, tupia wanyama wawili, utakuja kunishukuru. Miaka 7 utakuwa unamtukana muajiri wakoKatika hekaheka za kujiandaa kustaafu miaka 7 baadae nimeamua nipande miche kama 500 yaani ekari 10 za maembe kisasa.
Shamba lipo Tabora kwa sasa naendelea kuchimba mashimo. Nitapanda bila mbolea ya samadi ila taweka NPK baada ya miezi 3 ikiwa imeshika.
Mpango wangu miche 450 ipone ili nipate wastani wa embe 500 kila mti mwaka wa 6 na hii itanipa embe 225,000 na kama tauza kwa Tzs 400 nipate 90m.Hapo nitaamua kustaafu kazi nikiwa na miaka 55.
Atafute connection ya Bakhresa, huwa ananunua members, hata kama ana ekari 500Kwa nini alikimbie?Tunaomba wenye uzoefu wa mkoa/mikoa mingine mfano Pwani au Tanga kuhusu soko la maembe
Kent inapatikana wapi na ina sifa zipi ?..kuna miembe inaitwa kent nimesoma wataalamu wanadai inazaa kwa kuchelewa kulinganisha na miembe mengine. kwa hiyo shamba likiwa na mchanganyiko wa miembe inayopishana kuzaa mkulima anakuwa anavuna ndani ya msimu, na nje ya msimu.
Kwa Tabora uko upande gani ambako hakuna samadi mkuu? Hujafanya research ya kutosha. Pia aliyekushauri kutumia miche ya kienyeji naomba uzingatie huo ushauri. Unasema unataka kuwahi kurudisha capital. Sasa hapo inakuwa hivi haupandi kokwa bali unatumia vikonyo vilivyofanyiwa budding au grafting, maanake hapo mti unaanza kuzaa kama hiyo tunayoita ya kisasa.Nimejitahidi kuipata imekuwa ngumu,Taweka NPK kwanza baadae tajitahidi niwke samadi
Hiyo hiyo mitatu!Hii ya kienyeji inachukua muda gani hadi kuanza kuzaa tofauti na ya kisasa inayozaa baada ya miaka 3