Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Nombe ni kubwa naunataka kulima maeneo gani?Mkuu, binafsi nataka kutinga kwenye hiki kilimo, japo sijapata taarifa zaidi kuhusu njombe. Nataka kulima Arusha, labda kama kuna wadau wanajua zaidi kuhusu hii mishe kwa pande za njombe tunaomba msaada watujuze tujifunze zaidi
Mkuu tupe maelekezo ya upatikaji wako tafadhari1) Natumia 6ltr@acre
2) kawaida namwagilia mara 10 mpaka kuvuna maharage kulingana na hali ya hewa.(6ltr*10=2500*6*10=>150,000/-)
3) natumia mbolea ya CAN Kg50@are=>Tsh90000
4)Tsh200,000 kulima na kuchora muelekeo wa utiririkaji wa maji.
5)booster 2ltr@6000=>12,000
6)fungicide=>40,000
7)insecticide=>48,000
8)mbolea supergro tsh 250,000.
9)palizi nafanya mwenyewe
10) navuna na kupokea mkwanja nikiwa shamba. Siku hiyo lazima nichinje jogoo kwajili ya mteja!
Karibuni sana shamba.
Ukiamua kuchagua upande huu utakuwa njia sahihi.
Usimtegemee mwajiri wako maana anakutumia kwa ujira finyu na ukizeeka hatakuhitaji kamwe.
Janjaruka mwanangu usiwe poyoyo!!
Mtwana ndo yanalimwa kwa wingi utayakimbiaNaomba kufahamishwa sehemu gani ya Singida nitapata maharage, yaani wanapolima kwa wingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nayalima ila nayalima kienyeji.
Gharama zake ni kama ifuatavyo
Kugeuza eka moja no 30,000
Kuotesha eka moja in 30,000
Kupalilia eka moja 30,000
Kila eka moja debe moja LA kg 20 linatosha
Kungoa maharage eka moja ni 10,000
Kupiga maharage ni 5000 KWA gunia, ambapo mara nyingi navuna gunia tatu(gunia LA 120 kg) hivyo kupiga 15,000 KWA eka
Mbegu nzuri ni ile ya gololi mana kuna njano ndefu na njano gololi
Kusafirisha kutoka shambani mpaka store kwangu ni 5000 KWA gunia
Soko langu mi huwa nauzia mashule KWA kg 2,500au2600 KWA kutumia kampuni yangu, ( nilisajili purposely KWA kuwa madalali wanaonea sana)
Shamba huwa sikodishi, naombaga tu MTU mmmoja Mmoja mpaka nafikisha ekari kumi ama kumi na tano tu, watu Wa huku hawakodishi mashamba, ila ukitaka unanunua sukari na blanket unaenda kuomba Shamba, ukiahapata hapo utalima mpaka atakapokuambia sasa nataka Shamba langu. (Advantage ya kuajiriwa kijijini)
Kuotesha ni kuanzi mwezi Wa tatu tarehe moja hadi tarehe 15, na ukichelewa sana basi ivuke tare 05/4 hujaweka mbegu chini
Maharage ya njano hayahitaji mvua nyingi sana na yanawahi kustawi haraka mno,
Ni matamu sana yakiwa mabichi, matamu mnooo, yaani matamu haswaaa sema ushuzi wake sio Wa nchi hii.
Nimeshaanda mashamba nasubiria march niweke mbegu chini.
Mi huwa nachanganya na mahindi pia shambani. Sipigi dawa yoyote ile
Nafanyia mkoa Wa Arusha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkoa gani mkuumnaendeleaje na kilimo cha MAHARAGE huko?? nimeotesha na palizi ya kwanza tayariView attachment 1403347
Sent using Jamii Forums mobile app
UNALIMIAA ARUSHA SEHEM NIJE NIJIFUNZEMimi nayalima ila nayalima kienyeji.
Gharama zake ni kama ifuatavyo
Kugeuza eka moja no 30,000
Kuotesha eka moja in 30,000
Kupalilia eka moja 30,000
Kila eka moja debe moja LA kg 20 linatosha
Kungoa maharage eka moja ni 10,000
Kupiga maharage ni 5000 KWA gunia, ambapo mara nyingi navuna gunia tatu(gunia LA 120 kg) hivyo kupiga 15,000 KWA eka
Mbegu nzuri ni ile ya gololi mana kuna njano ndefu na njano gololi
Kusafirisha kutoka shambani mpaka store kwangu ni 5000 KWA gunia
Soko langu mi huwa nauzia mashule KWA kg 2,500au2600 KWA kutumia kampuni yangu, ( nilisajili purposely KWA kuwa madalali wanaonea sana)
Shamba huwa sikodishi, naombaga tu MTU mmmoja Mmoja mpaka nafikisha ekari kumi ama kumi na tano tu, watu Wa huku hawakodishi mashamba, ila ukitaka unanunua sukari na blanket unaenda kuomba Shamba, ukiahapata hapo utalima mpaka atakapokuambia sasa nataka Shamba langu. (Advantage ya kuajiriwa kijijini)
Kuotesha ni kuanzi mwezi Wa tatu tarehe moja hadi tarehe 15, na ukichelewa sana basi ivuke tare 05/4 hujaweka mbegu chini
Maharage ya njano hayahitaji mvua nyingi sana na yanawahi kustawi haraka mno,
Ni matamu sana yakiwa mabichi, matamu mnooo, yaani matamu haswaaa sema ushuzi wake sio Wa nchi hii.
Nimeshaanda mashamba nasubiria march niweke mbegu chini.
Mi huwa nachanganya na mahindi pia shambani. Sipigi dawa yoyote ile
Nafanyia mkoa Wa Arusha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Arusha sehemu gani Kaka?
Unalima arusha sehemu gan kiongozi