Hujapata mda tena wa kuleta hii habari njemaToo bad, mtanisamehe wadau. Nimeandika maelezo juu ya kilimo hiki, bahati mbaya sana sikusave, katika ku submit network imepeperusha maelezo yote!!
Mnisamehe aisee ntatenga muda mwingine wa kuandika upya na kupost!
Muwe wavumilivu!!
Nimevutiwa1) Natumia 6ltr@acre
2) kawaida namwagilia mara 10 mpaka kuvuna maharage kulingana na hali ya hewa.(6ltr*10=2500*6*10=>150,000/-)
3) natumia mbolea ya CAN Kg50@are=>Tsh90000
4)Tsh200,000 kulima na kuchora muelekeo wa utiririkaji wa maji.
5)booster 2ltr@6000=>12,000
6)fungicide=>40,000
7)insecticide=>48,000
8)mbolea supergro tsh 250,000.
9)palizi nafanya mwenyewe
10) navuna na kupokea mkwanja nikiwa shamba. Siku hiyo lazima nichinje jogoo kwajili ya mteja!
Karibuni sana shamba.
Ukiamua kuchagua upande huu utakuwa njia sahihi.
Usimtegemee mwajiri wako maana anakutumia kwa ujira finyu na ukizeeka hatakuhitaji kamwe.
Janjaruka mwanangu usiwe poyoyo!!
Ni aina ipi ya maharage yana soko sana na bei yake ipo juu.1) Natumia 6ltr@acre
2) kawaida namwagilia mara 10 mpaka kuvuna maharage kulingana na hali ya hewa.(6ltr*10=2500*6*10=>150,000/-)
3) natumia mbolea ya CAN Kg50@are=>Tsh90000
4)Tsh200,000 kulima na kuchora muelekeo wa utiririkaji wa maji.
5)booster 2ltr@6000=>12,000
6)fungicide=>40,000
7)insecticide=>48,000
8)mbolea supergro tsh 250,000.
9)palizi nafanya mwenyewe
10) navuna na kupokea mkwanja nikiwa shamba. Siku hiyo lazima nichinje jogoo kwajili ya mteja!
Karibuni sana shamba.
Ukiamua kuchagua upande huu utakuwa njia sahihi.
Usimtegemee mwajiri wako maana anakutumia kwa ujira finyu na ukizeeka hatakuhitaji kamwe.
Janjaruka mwanangu usiwe poyoyo!!
Maharage ya njano yanaongoza na ni mazito kuliko mengine.Ni aina ipi ya maharage yana soko sana na bei yake ipo juu.
1) Natumia 6ltr@acre
2) kawaida namwagilia mara 10 mpaka kuvuna maharage kulingana na hali ya hewa.(6ltr*10=2500*6*10=>150,000/-)
3) natumia mbolea ya CAN Kg50@are=>Tsh90000
4)Tsh200,000 kulima na kuchora muelekeo wa utiririkaji wa maji.
5)booster 2ltr@6000=>12,000
6)fungicide=>40,000
7)insecticide=>48,000
8)mbolea supergro tsh 250,000.
9)palizi nafanya mwenyewe
10) navuna na kupokea mkwanja nikiwa shamba. Siku hiyo lazima nichinje jogoo kwajili ya mteja!
Karibuni sana shamba.
Ukiamua kuchagua upande huu utakuwa njia sahihi.
Usimtegemee mwajiri wako maana anakutumia kwa ujira finyu na ukizeeka hatakuhitaji kamwe.
Janjaruka mwanangu usiwe poyoyo!!
Nalimia Morogoro mkuu.unalimia wapi mkuu
Yanaweza kulimika lakini hofu yangu ni joto linaweza kuleta athari kwenye ustawi halisi.Ni maeneo gani hicho kilimo kinakubali? Vipi maeneo ya pwani inawezekana kufanyika?
poa sana kaka,Moro sehemu gani,maanna naweza nikakujoin pleaseNalimia Morogoro mkuu.
Nipo Turiani mkuu karibu tulisongeshe...poa sana kaka,Moro sehemu gani,maanna naweza nikakujoin....please
ekari moja inatoa gunia ngapi na inachukua muda gani kupanda hadi kuvuna na bei kwa kila gunia ni kiasi ganiNipo Turiani mkuu. Karibu tulisongeshe...
safi sana,hakika nitakutafuta mkuu,nije nitembee maeneo ya Kwa Doli,Madizini na mengineyoNipo Turiani mkuu. Karibu tulisongeshe...
Mkuu huwa navuna na kuuza kwa tathmini ya kilo huko kwenye magunia sipo kumejaa wizi wa waziwazi!ekari moja inatoa gunia ngapi na inachukua muda gani kupanda hadi kuvuna na bei kwa kila gunia ni kiasi gani