Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

Habari za leo. KISIMA naomba ujitahidi kuweka hiyo thread, tutafaidika wengi aidha mimi mwenyewe nataraji kuanza kulima maharage japo nipo kibaha ambapo nimeichuguza ardhi na kuona inafaa.

Naomba unijuze kuhusu kilimo cha umwagiliaji cha maharage, maji yanahijika kwa wingi gani hasa ukiwa na 0.75 ya heka? Naomba jibu Mr. Kisima.
 
Nawasalimu wakuu katika amani na upendo,

Wakuu nimekuja hapa kwa ajili ya kupata ushauri kuhusu kilimo bora cha maharage. Kwa yeyote ambaye anajua jinsi ya hichi kilimo kinavolimwa kwa kitaalamu ili kuweza kupata mavuno mengi.

Naomba ushauri kuanzia kuandaa shamba, mbolea, mbegu bora na madawa yanayo tumika katika kuboresha kilimo hiki.

Karibuni tushiriki.

Asante.
 
Yanapatikana sana kaskazini hasa wlya ya simanjiro yanastahili sana ukame yahahitaji mvua chache sana na dawa kwa ajili ya kuua wadudu kwan wanashambulia sana aya maharage kwa sasa soko lake liko Kenya nackia wanatengenezea biskuti/mafuta ...yana bei sana gunia linaweza fka hata laki 5 kama mavuno ni machache mpaka laki 2...ukilima maeneo ya porini jiandae kulinda kwani wanyamapori kama digidigi/swala/nguruwemwitu wanayashambulia sana baada ya kupigwa majani yake ni chakula kizuri sana cha mifugo ngombe/mbuzi..
 
Too bad, mtanisamehe wadau. Nimeandika maelezo juu ya kilimo hiki, bahati mbaya sana sikusave, katika ku submit network imepeperusha maelezo yote!!
Mnisamehe aisee ntatenga muda mwingine wa kuandika upya na kupost!
Muwe wavumilivu!!
Hujapata mda tena wa kuleta hii habari njema
 
Hii ndo habari njema wakuu!

Mimi nalima harage ya njano. Nalima kwa surface irrigation (furrow method)

Njia hii utaimudu kwa ufasaha kulingana na muonekano wa shamba lako. (natoa huduma hii kwa mhitaji).
Huwa nalima kwa mahesabu make mi ni mwanahesabu tangu kuzaliwa kwangu;

Hiki ndicho nifanyacho:
1) Ekari1 huwa naigawa kwa mistari5 iliyo sawa;
Kawaida 1acre=>4000sqm. Kwahiyo basi
4000/(8m*2m)*10kg*2000Tsh@kg= Tsh5,000,000

Katika hesabu hii:
4000sqm ni eneo lote la ekari kwa square mita.
8m ni urefu wa kila kijaruba kwa kipimo cha mita.
2m ni upana wa kila kijaruba kwa kipimo cha mita
10kg ni uhakika wa mavuno ya kila kijaruba.
2000Tsh ni kiasi cha bei ya maharage ya njano kwa kila kilo.
Tsh 5,000,000/= ni mapato ya jumla katika kila ekari.

Ufuatao ni mchanganuo wa gharama ya hiki kilimo kwa ekari moja kulingana na eneo la kilimo kinapofanyika na msimu husika hasa kipindi cha jua kali.

1) Natumia 6ltr@acre
2) kawaida namwagilia mara 10 mpaka kuvuna maharage kulingana na hali ya hewa.(6ltr*10=2500*6*10=>150,000/-)
3) natumia mbolea ya CAN Kg50@are=>Tsh90000
4) Tsh 200,000 kulima na kuchora muelekeo wa utiririkaji wa maji.
5) Booster 2ltr@6000=>12,000
6) Fungicide=>40,000
7) Insecticide=>48,000
8) Mbolea supergro tsh 250,000.
9) Palizi nafanya mwenyewe
10) Navuna na kupokea mkwanja nikiwa shamba. Siku hiyo lazima nichinje jogoo kwajili ya mteja!

Karibuni sana shamba. Ukiamua kuchagua upande huu utakuwa njia sahihi.

Usimtegemee mwajiri wako maana anakutumia kwa ujira finyu na ukizeeka hatakuhitaji kamwe.

Janjaruka mwanangu usiwe poyoyo!!
 
1) Natumia 6ltr@acre
2) kawaida namwagilia mara 10 mpaka kuvuna maharage kulingana na hali ya hewa.(6ltr*10=2500*6*10=>150,000/-)
3) natumia mbolea ya CAN Kg50@are=>Tsh90000
4)Tsh200,000 kulima na kuchora muelekeo wa utiririkaji wa maji.
5)booster 2ltr@6000=>12,000
6)fungicide=>40,000
7)insecticide=>48,000
8)mbolea supergro tsh 250,000.
9)palizi nafanya mwenyewe
10) navuna na kupokea mkwanja nikiwa shamba. Siku hiyo lazima nichinje jogoo kwajili ya mteja!

Karibuni sana shamba.
Ukiamua kuchagua upande huu utakuwa njia sahihi.
Usimtegemee mwajiri wako maana anakutumia kwa ujira finyu na ukizeeka hatakuhitaji kamwe.
Janjaruka mwanangu usiwe poyoyo!!
Nimevutiwa
 
Ni aina ipi ya maharage yana soko sana na bei yake ipo juu.
 
Ni maeneo gani hicho kilimo kinakubali? Vipi maeneo ya pwani inawezekana kufanyika?
 
unalimia wapi mkuu
1) Natumia 6ltr@acre
2) kawaida namwagilia mara 10 mpaka kuvuna maharage kulingana na hali ya hewa.(6ltr*10=2500*6*10=>150,000/-)
3) natumia mbolea ya CAN Kg50@are=>Tsh90000
4)Tsh200,000 kulima na kuchora muelekeo wa utiririkaji wa maji.
5)booster 2ltr@6000=>12,000
6)fungicide=>40,000
7)insecticide=>48,000
8)mbolea supergro tsh 250,000.
9)palizi nafanya mwenyewe
10) navuna na kupokea mkwanja nikiwa shamba. Siku hiyo lazima nichinje jogoo kwajili ya mteja!

Karibuni sana shamba.
Ukiamua kuchagua upande huu utakuwa njia sahihi.
Usimtegemee mwajiri wako maana anakutumia kwa ujira finyu na ukizeeka hatakuhitaji kamwe.
Janjaruka mwanangu usiwe poyoyo!!
 
Ni maeneo gani hicho kilimo kinakubali? Vipi maeneo ya pwani inawezekana kufanyika?
Yanaweza kulimika lakini hofu yangu ni joto linaweza kuleta athari kwenye ustawi halisi.
 
ekari moja inatoa gunia ngapi na inachukua muda gani kupanda hadi kuvuna na bei kwa kila gunia ni kiasi gani
Mkuu huwa navuna na kuuza kwa tathmini ya kilo huko kwenye magunia sipo kumejaa wizi wa waziwazi!
Miezi miwili tu inatosha sana ku realize return ya pesa yako kwa uamzi wako maridhawa wa kulima zao hili.
 
Hii topic nzuri sana,unalima hekali ngapi na mpaka sasa umepiga hatua zipi kwa mfano,ili nasi tuvutiwe kujiunga na kilimo cha kufa na kupona?
 
Back
Top Bottom