Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

safi sana,hakika nitakutafuta mkuu,nije nitembee maeneo ya Kwa Doli,Madizini na mengineyo
Kumbe mwenyeji mzuri huku. Kuna mabonde ya Difinga, lusonge, au kule muscat ni kuzuri sana na maharage yanastawi sana.
Karibu sana...
 
Mkuu huwa navuna na kuuza kwa tathmini ya kilo huko kwenye magunia sipo kumejaa wizi wa waziwazi!
Miezi miwili tu inatosha sana ku realize return ya pesa yako kwa uamzi wako maridhawa wa kulima zao hili.
Nitakutafuta, unipe mwongozo zaidi nina shamba huko morogoro maeneo ya magubike nata kulima mbaazi ila nitaacha baadhi ya ekari kwa ajiri ya maharage
 
Mkuu huwa navuna na kuuza kwa tathmini ya kilo huko kwenye magunia sipo kumejaa wizi wa waziwazi!
Miezi miwili tu inatosha sana ku realize return ya pesa yako kwa uamzi wako maridhawa wa kulima zao hili.
najaribu kuku pm naona siwezi , hebu ni pm tafadhali namba yako au chochote niweze kukupata kwa urahisi siku nyingine
 
Mkuu huwa navuna na kuuza kwa tathmini ya kilo huko kwenye magunia sipo kumejaa wizi wa waziwazi!
Miezi miwili tu inatosha sana ku realize return ya pesa yako kwa uamzi wako maridhawa wa kulima zao hili.
Mkuu naomba kujua jumla mtaji inakuaje maana Kuna mahali umesema baadhi ya vitu huwa unafanya mwenyew sasa kwa watu ambao tunataka kuweka watu kama wasimamizi
 
Mkuu naomba kujua jumla mtaji inakuaje maana Kuna mahali umesema baadhi ya vitu huwa unafanya mwenyew sasa kwa watu ambao tunataka kuweka watu kama wasimamizi
Mkuu suala la kumweka mtu asimamie kazi zako za shamba kiukweli inahitaji uliangalie kwa makini sana make wengi wao sio waaminifu na hata kama ukimpata mwenye utayari wa kufanikisha hilo bado itahitaji makubaliano maalum kivipi atanufaika hivyo sio rahisi kutoa makisio ya gharama hizo.
 
nitakutafuta, unipe mwongozo zaidi nina shamba huko morogoro maeneo ya magubike nata kulima mbaazi ila nitaacha baadhi ya ekari kwa ajiri ya maharage
Mbaazi nasikia kuna "maelekezo kutoka juu" yamelifanya zao hili la kibiashara liporomoke kutoka sh50k hadi sh10k kwa debe ndani ya wiki moja tu!! Haya ni maajabu mengine ya huyu "mtu aliyeko juu" anazuia mbaazi zisiende kwa wingi BARA ASIA ili iweje?!
 
Mkuu suala la kumweka mtu asimamie kazi zako za shamba kiukweli inahitaji uliangalie kwa makini sana make wengi wao sio waaminifu na hata kama ukimpata mwenye utayari wa kufanikisha hilo bado itahitaji makubaliano maalum kivipi atanufaika. Hivyo sio rahisi kutoa makisio ya gharama hizo.
Sawa mkuu ahsantee kwa ufafanuzi uluosimama inachukua muda gani hadi kuanzia process inapoanza na gharama tena ikiwezekana na msimu sahihi wa kulima
 
Atakula yeye hizo mbaazi au?
Sijui mkuu pengine tuwasubiri walioko juu washuke kutuma maelezo. Yawezekana kabisa pengine hii mamlaka iliyopo juu imeliteua zao hili kuwa "zao mhimu la chakula" kama vile mahindi, mpunga na maharage. Hivyo inahitajika udhibiti wa soko kuepuka exportation kubwa tusijekosa chakula nchini.
 
huyo aliyejuu ni jipu inabidi atumbiliwe , mwaka jana nililima eka nne nikisikilizia mavuno ya mwaka huu yakiwa mazuri mwaka huu nilime ekari ishirini sasa , kama anasababisha bei kushuka mwaka huu hata hizo ekari nne sitalima tena itabidi nibadilishe, sasa badala ya zao muhimu kulimwa sana litaachwa kulimwa. dah
 
1. Naomba kifahamu mbegu zinapatikana wapi?

Nashukuru kwa mchango wako.
 
Nalimia Morogoro mkuu.
Thanks kwa majibu ya swali langu la ziada.Unaweza kuweka picha ya hayo maharage ya njano ili niyatafute kwa ajili ya mbegu maana nisije chukua mbegu tofauti yakanidodea,nalima hekari kama 20 hivi.Kwa hekari moja nitahitaji kiasi gani cha mbegu?Na kama unatumia mbolea je ni aina gani na vipi boster zinasaidia kuongeza mazao kwenye maharage?
 
Hadi mwaka huu kuna soko la uhakika la hili zao? Nataka msimu wa mvua mwaka huu nilime eneo kubwa la zao hili. Na ni aina gani ya mbegu ndo ina soko na huchukua mda gani mpaka kuvuna.
Kivumah! Haya maharage yanapatikana ktk mbegu ya aina zaidi ya tatu na inastahili ukame na hata mvua nyingi! Na hayana gharama ktk kusema unatumia dawa kwani si rahisi kushambuliwa na wadudu waharibifu kwa mazao!
Na ktk ekari moja waweza hata ukapata zaidi ya gunia kumi na mbili.
Hapa LiverpoolFC na bryan2 nani tumuelewe kuhusu hili zao kuwa linahitaji mvua nyingi au chache...Naomba mnieleweshe hapa nisije ingia mlango wa kutokea kama kwenye zao moja hivi.

Yanapatikana sana kaskazini hasa wlya ya simanjiro yanastahili sana ukame yahahitaji mvua chache sana na dawa kwa ajili ya kuua wadudu kwan wanashambulia sana aya maharage... ...yana bei sana gunia linaweza fka hata laki 5 kama mavuno ni machache mpaka laki 2...
Kwanini mavuno yakiwa machache bei ndo inapungua badala ya kuongezeka.

wakuu....ni maharage haya mnazungumzia.........?

View attachment 64628
Picha hizo tena zao lake linatumika kama maua majumbani.
1473050185327.jpg

1473050205572.jpg

1473050227262.jpg

1473050250952.jpg
 
Kuna aina ya maharage yanaitwa ngwala, waungwana najaribu kutafuta kwenye neti siyapati.
Sifa,
yanastail ukame hasa umasaini
pili yana soko kubwa apo ulaya, marekani na asia,
yeyote mwenye habari ya jina yake ya kiingereza please help!
==inaitwa kwa lugha ya kimombo lablab. Aloo nilipe kwa consultation.
 
Ok,kwa sasa bei ipo kiasi gani kwa gunia la kg 100 na vipi unalima hili zao au unalangua tu.
Kwa sasa bwn imeshuka sana, huku inapimwa 90kg for now ni 120,000tsh,,,Kenya money ni sawa na 7500 hadi 8000,,Mimi nanunua na kuuza,, ila silangui, soko ndio linasema,,
 
Kwa sasa bwn imeshuka sana, huku inapimwa 90kg for now ni 120,000tsh,,,Kenya money ni sawa na 7500 hadi 8000,,Mimi nanunua na kuuza,, ila silangui, soko ndio linasema,,
I see,ipo chini sana kumbe,sawa na maharage haya mengine tu ya kawaida...kuna mdau hapa aliweka 300,000/=Tsh hadi 500,000/=Tsh tena kwa miaka hiyo ya nyuma sana.

Vip mazao ya kutoa mafuta kama alizeti na karanga huko hazitoki
 
Back
Top Bottom