Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

Habarini wakuu wangu,
Naomba kujibiwa maswali yafuatayo kuhusu kilimo cha maharage...
1. Hekali moja ya Maharage inahitaji mbegu kiasi gani?
2. Mbegu nzuri ya maharage ni ipi?
3. Maharage yanachukua muda gani shambani hadi kuvunwa?
4. Hekali moja inatoa maharage kiasi gani?
5. Bei ya maharage baada ya kuvuna kwa gunia/debe n.k
Karibuni sana na natanguliza shukuran,
nawasilisha
 
Mimi nimelima msimu huu. Nimelima maharage ya njano. Kwa ekari moja nimetumia debe moja. Maharage yanachukua siku 80-90, kuhusu kupata mazao kiasi gani inategemea na ardhi na wadudu
Ukiondoa suala la udongo na wadudu, tunaomba kadirio la chini la uzalishaji
 
tunashukuru mkuu,,
vp gunia moja la maharage linauzwa around sh ngapi
(ukiachana na tofauti za maeneo linapouzwa)
Ungefanya market research kwa sehemu uliopo ndo ingekua poa. Ila kwa huku itarange 180-230 iv kutegemea na wingi wa mavuno
 
Gharama zake za ulimaji bila kujali eneo zimekaaje na misimu ya ulimaji wake?
 
Shukrani ndugu Temu.

Naomba pia kufahamu hekali moja inachukua maharage ya mbegu kiasi gani mkuu.
 
Back
Top Bottom