jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Mkuu kwa maeneo ya vihanzi-mvomero kilimo hiki kinafaa?Nipo Turiani mkuu. Karibu tulisongeshe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwa maeneo ya vihanzi-mvomero kilimo hiki kinafaa?Nipo Turiani mkuu. Karibu tulisongeshe...
Upo wapi?Mbegu nzuri ya maharage inategemeana Na eneo
Ila Rozi koko au njano ni Bora zaidi Na zina Bei sana,pia soko linategemeana Na eneo husika mfano si huku Huwa tunauza nchi jirani ya Uganda Kwa kuwa Wanabei nzuri Sana
mi pia nimelima mwaka huu ila nilichopata hakiridhishi ni kama nimerudisha mbegu tu.Habarini wakuu wangu,
Naomba kujibiwa maswali yafuatayo kuhusu kilimo cha maharage...
1. Hekali moja ya Maharage inahitaji mbegu kiasi gani?
2. Mbegu nzuri ya maharage ni ipi?
3. Maharage yanachukua muda gani shambani hadi kuvunwa?
4. Hekali moja inatoa maharage kiasi gani?
5. Bei ya maharage baada ya kuvuna kwa gunia/debe n.k
Karibuni sana na natanguliza shukuran,
nawasilisha
mi pia nimelima mwaka huu ila nilichopata hakiridhishi ni kama nimerudisha mbegu tu.
1) Natumia 6ltr@acre
2) kawaida namwagilia mara 10 mpaka kuvuna maharage kulingana na hali ya hewa.(6ltr*10=2500*6*10=>150,000/-)
3) natumia mbolea ya CAN Kg50@are=>Tsh90000
4)Tsh200,000 kulima na kuchora muelekeo wa utiririkaji wa maji.
5)booster 2ltr@6000=>12,000
6)fungicide=>40,000
7)insecticide=>48,000
8)mbolea supergro tsh 250,000.
9)palizi nafanya mwenyewe
10) navuna na kupokea mkwanja nikiwa shamba. Siku hiyo lazima nichinje jogoo kwajili ya mteja!
Karibuni sana shamba.
Ukiamua kuchagua upande huu utakuwa njia sahihi.
Usimtegemee mwajiri wako maana anakutumia kwa ujira finyu na ukizeeka hatakuhitaji kamwe.
Janjaruka mwanangu usiwe poyoyo!!
Habarini wakuu wangu,
Naomba kujibiwa maswali yafuatayo kuhusu kilimo cha maharage...
1. Hekali moja ya Maharage inahitaji mbegu kiasi gani?
2. Mbegu nzuri ya maharage ni ipi?
3. Maharage yanachukua muda gani shambani hadi kuvunwa?
4. Hekali moja inatoa maharage kiasi gani?
5. Bei ya maharage baada ya kuvuna kwa gunia/debe n.k
Karibuni sana na natanguliza shukuran,
nawasilisha
mfano kwa mbeya upandio mbolea hasa ya DAP then piga busta baada ya kama wiki moja zisizidi wiki mbili, usikose kupiga dawa ya wadudu na ukungu mwisho yanapotoa maua rudia tene busta na ya ukungu.... space is the matter of at most importance harage kwa harage sm 5 na mstari kwa mstari sm40 Nonchalant AlejandrozJe, ili yazae vema, yahitaji kufanya nini?
Nipo Turiani mkuu. Karibu tulisongeshe...
Sisi mby tunatumia DAP
Nimekwisha kukujibu mkuu.Mkuu Kisima mambo vipi. mkuu nimekuPM nakuhitaji mkuu kwa ajili ya Furrow.. plz
Mkuu nimekutext pm lkn umenipotezea jamaa anguNimekwisha kukujibu mkuu.
Karibu sana!
Tayari mkuu nimejibu PM yako.Mkuu nimekutext pm lkn umenipotezea jamaa angu
Asante mkuuTayari mkuu nimejibu PM yako.
Booster ni kirutubisho cha mimea.Mkuu Kisima mimi ni mkulima nalima Mahindi, sijawahi kulima maharage, booster ni kitu gani?