Hii ndo habari njema wakuu!
Mimi nalima harage ya njano.
Nalima kwa surface irrigation(furrow method)
Njia hii utaimudu kwa ufasaha kulingana na muonekano wa shamba lako.(natoa huduma hii kwa mhitaji).
Huwa nalima kwa mahesabu make mi ni mwanahesabu tangu kuzaliwa kwangu;
Hiki ndicho nifanyacho;
1) ekari1 huwa naigawa kwa mistari5 iliyo sawa;
Kawaida 1acre=>4000sqm. Kwahiyo basi
4000/(8m*2m)*10kg*2000Tsh@kg= Tsh5,000,000
Katika hesabu hii;
4000sqm ni eneo lote la ekari kwa square mita.
8m ni urefu wa kila kijaruba kwa kipimo cha mita.
2m ni upana wa kila kijaruba kwa kipimo cha mita
10kg ni uhakika wa mavuno ya kila kijaruba.
2000Tsh ni kiasi cha bei ya maharage ya njano kwa kila kilo.
Tsh 5,000,000/= ni mapato ya jumla katika kila ekari.
Ufuatao ni mchanganuo wa gharama ya hiki kilimo kwa ekari moja kulingana na eneo la kilimo kinapofanyika na msimu husika hasa kipindi cha jua kali.