Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

Ni mbolea iliyo katika mfumo wa kimiminika.
Mara nyingi ndani yake inakuwa na viambata kama Zinc na Boron kwaajili ya kustawisha maua na kuboresha matunda.
Hivi kwa Singida haya maharage yanastawi wapi vizuri?
 
Ni mbolea iliyo katika mfumo wa kimiminika.
Mara nyingi ndani yake inakuwa na viambata kama Zinc na Boron kwaajili ya kustawisha maua na kuboresha matunda.
Naeza pata WAP mbegu mkuu?? Nko SUA morogorooo
 
Naeza pata WAP mbegu mkuu?? Nko SUA morogorooo
Unaweza kuagiza chuo cha kilimo uyole mbeya wana mbegu nzuri za kila aina au vinginevyo nenda wilaya ya kilindi Tanga wapo mbioni kuanza kuvuna.
 
Mkuu kwa hali ya hewa y mbozi mbeya vipi yanastawi mana kuna kaubaridi zaidi

Pia soko kwa maeneo ya nyanda za juu kusini vipi una uzoefu nalo

Na la mwisho nikupongeze sana kwa ushauri nzuri
Nitakuja kukitrmbelea kabla sijaanza mana natarajia kuanza kilimo wakani mwezi wa kwanza hasa maeneo ya mbeya nataka niteke mkoa kwa kilimo cha maharage aina yote hope utakua mentor wangu mkuu mungu akubaliki sana
Mkuu ata mimi ninawazo kama lako niko mbeya hivi natafuta mashamba mwakani nianze
 
Mkuu ata mm ninawazo kama lako niko mbeya hivi natafuta mashamba mwakani nianze
Mkuu basi nadhani tunaweza kutengeneza timu kubwa mana ushirikiano ndio ushindi basi endelea na zoezi muda ukikaribia tuchekiane ili tuweze kupata maarifa zaidu
 
Mkuu basi nadhani tunaweza kutengeneza timu kubwa mana ushirikiano ndio ushindi basi endelea na zoezi muda ukikaribia tuchekiane ili tuweze kupata maarifa zaidu
Kweli mkuu embu tuchekiane tujue tunaanzia wap mkuu Nakutumia namba PM
 
Shukrani ndugu Temu..
Naomba pia kufahamu hekali moja inachukua maharage ya mbegu kiasi gani mkuu..
Mkuu hii rangi unayotumia sio nzuri, inazingua macho hadi machozi. Sa unatunyima kujua Mkuu, tumia nyingine
 
Booster ni kirutubisho cha mimea.
Kipo katika mfumo wa kimiminika.
Mara nyingi husaidia kustawisha maua na kuboresha matunda.
Booster yenye viambata vya Zinc na Boron ni nzuri sana ikatumika kipindi cha maua na matunda.
Borea ya CAN mkuu inatakiwa wekwa.. baada ya mda gani toka kupanda.

Naomba unisaidie kwa hilo.. mie mgen na hich kilimo...
 
Borea ya CAN mkuu inatakiwa wekwa.. baada ya mda gani toka kupanda.

Naomba unisaidie kwa hilo.. mie mgen na hich kilimo...
Mbolea hii ni kwajili ya kukuzia, yafaa uweke mara baada ya mmea kuwa na majani matatu.
 
6ltr*10@acre sijaelewa
6ltr ni petrol ambayo itatumika kusukuma waterpump kwenye eneo la ekari moja.
'10' ni idadi ya awamu za umwagiliaji mpaka mavuno.

Karibu tena mkuu!
 
Wanaolima hii maharage maeneo ya Iringa naomba anitonye nimpe dili la uhakika.
 
Wanaolima hii maharage maeneo ya Iringa naomba anitonye nimpe dili la uhakika.
Mkuu bandiko lako haliendani na matakwa ya hili jukwaa letu pendwa.
Hapa hatuna utaratibu wa kuficha taarifa mhimu.
Kama una jambo ni vizuri ukajumuika nasi ili wadau wachangie moja kwa moja. Na penye kuhitaji maboresho panafanyiwa kazi ipasavyo.

Kutonyana jambo PM kuna fifisha uhalisia wa uthubutu wa kuongea huru!!
 
Back
Top Bottom