Kumbe mwenyeji mzuri huku. Kuna mabonde ya Difinga, lusonge, au kule muscat ni kuzuri sana na maharage yanastawi sana.safi sana,hakika nitakutafuta mkuu,nije nitembee maeneo ya Kwa Doli,Madizini na mengineyo
Nitakutafuta, unipe mwongozo zaidi nina shamba huko morogoro maeneo ya magubike nata kulima mbaazi ila nitaacha baadhi ya ekari kwa ajiri ya maharageMkuu huwa navuna na kuuza kwa tathmini ya kilo huko kwenye magunia sipo kumejaa wizi wa waziwazi!
Miezi miwili tu inatosha sana ku realize return ya pesa yako kwa uamzi wako maridhawa wa kulima zao hili.
najaribu kuku pm naona siwezi , hebu ni pm tafadhali namba yako au chochote niweze kukupata kwa urahisi siku nyingineMkuu huwa navuna na kuuza kwa tathmini ya kilo huko kwenye magunia sipo kumejaa wizi wa waziwazi!
Miezi miwili tu inatosha sana ku realize return ya pesa yako kwa uamzi wako maridhawa wa kulima zao hili.
Mkuu naomba kujua jumla mtaji inakuaje maana Kuna mahali umesema baadhi ya vitu huwa unafanya mwenyew sasa kwa watu ambao tunataka kuweka watu kama wasimamiziMkuu huwa navuna na kuuza kwa tathmini ya kilo huko kwenye magunia sipo kumejaa wizi wa waziwazi!
Miezi miwili tu inatosha sana ku realize return ya pesa yako kwa uamzi wako maridhawa wa kulima zao hili.
Mkuu suala la kumweka mtu asimamie kazi zako za shamba kiukweli inahitaji uliangalie kwa makini sana make wengi wao sio waaminifu na hata kama ukimpata mwenye utayari wa kufanikisha hilo bado itahitaji makubaliano maalum kivipi atanufaika hivyo sio rahisi kutoa makisio ya gharama hizo.Mkuu naomba kujua jumla mtaji inakuaje maana Kuna mahali umesema baadhi ya vitu huwa unafanya mwenyew sasa kwa watu ambao tunataka kuweka watu kama wasimamizi
Mbaazi nasikia kuna "maelekezo kutoka juu" yamelifanya zao hili la kibiashara liporomoke kutoka sh50k hadi sh10k kwa debe ndani ya wiki moja tu!! Haya ni maajabu mengine ya huyu "mtu aliyeko juu" anazuia mbaazi zisiende kwa wingi BARA ASIA ili iweje?!nitakutafuta, unipe mwongozo zaidi nina shamba huko morogoro maeneo ya magubike nata kulima mbaazi ila nitaacha baadhi ya ekari kwa ajiri ya maharage
Sawa mkuu ahsantee kwa ufafanuzi uluosimama inachukua muda gani hadi kuanzia process inapoanza na gharama tena ikiwezekana na msimu sahihi wa kulimaMkuu suala la kumweka mtu asimamie kazi zako za shamba kiukweli inahitaji uliangalie kwa makini sana make wengi wao sio waaminifu na hata kama ukimpata mwenye utayari wa kufanikisha hilo bado itahitaji makubaliano maalum kivipi atanufaika. Hivyo sio rahisi kutoa makisio ya gharama hizo.
Sijui mkuu pengine tuwasubiri walioko juu washuke kutuma maelezo. Yawezekana kabisa pengine hii mamlaka iliyopo juu imeliteua zao hili kuwa "zao mhimu la chakula" kama vile mahindi, mpunga na maharage. Hivyo inahitajika udhibiti wa soko kuepuka exportation kubwa tusijekosa chakula nchini.Atakula yeye hizo mbaazi au?
huyo aliyejuu ni jipu inabidi atumbiliwe , mwaka jana nililima eka nne nikisikilizia mavuno ya mwaka huu yakiwa mazuri mwaka huu nilime ekari ishirini sasa , kama anasababisha bei kushuka mwaka huu hata hizo ekari nne sitalima tena itabidi nibadilishe, sasa badala ya zao muhimu kulimwa sana litaachwa kulimwa. dahSijui mkuu pengine tuwasubiri walioko juu washuke kutuma maelezo. Yawezekana kabisa pengine hii mamlaka iliyopo juu imeliteua zao hili kuwa "zao mhimu la chakula" kama vile mahindi, mpunga na maharage. Hivyo inahitajika udhibiti wa soko kuepuka exportation kubwa tusijekosa chakula nchini.
Thanks kwa majibu ya swali langu la ziada.Unaweza kuweka picha ya hayo maharage ya njano ili niyatafute kwa ajili ya mbegu maana nisije chukua mbegu tofauti yakanidodea,nalima hekari kama 20 hivi.Kwa hekari moja nitahitaji kiasi gani cha mbegu?Na kama unatumia mbolea je ni aina gani na vipi boster zinasaidia kuongeza mazao kwenye maharage?Nalimia Morogoro mkuu.
Hapa LiverpoolFC na bryan2 nani tumuelewe kuhusu hili zao kuwa linahitaji mvua nyingi au chache...Naomba mnieleweshe hapa nisije ingia mlango wa kutokea kama kwenye zao moja hivi.Kivumah! Haya maharage yanapatikana ktk mbegu ya aina zaidi ya tatu na inastahili ukame na hata mvua nyingi! Na hayana gharama ktk kusema unatumia dawa kwani si rahisi kushambuliwa na wadudu waharibifu kwa mazao!
Na ktk ekari moja waweza hata ukapata zaidi ya gunia kumi na mbili.
Kwanini mavuno yakiwa machache bei ndo inapungua badala ya kuongezeka.Yanapatikana sana kaskazini hasa wlya ya simanjiro yanastahili sana ukame yahahitaji mvua chache sana na dawa kwa ajili ya kuua wadudu kwan wanashambulia sana aya maharage... ...yana bei sana gunia linaweza fka hata laki 5 kama mavuno ni machache mpaka laki 2...
Picha hizo tena zao lake linatumika kama maua majumbani.
==inaitwa kwa lugha ya kimombo lablab. Aloo nilipe kwa consultation.Kuna aina ya maharage yanaitwa ngwala, waungwana najaribu kutafuta kwenye neti siyapati.
Sifa,
yanastail ukame hasa umasaini
pili yana soko kubwa apo ulaya, marekani na asia,
yeyote mwenye habari ya jina yake ya kiingereza please help!
Sasa hapo Kenya utauliza yeyote,lazima ujue mnunuzi ni nani au unamfahamu mnunuzi?Ukifika nayo Kny sema unauza "NJAHE"
Mkuu ndio biashara yangu hiyo, soko lake liko Nrb sehemu inaitwa nyama kima,, ukiwa na full fusso plz nishoo,,Sasa hapo Kenya utauliza yeyote,lazima ujue mnunuzi ni nani au unamfahamu mnunuzi?
Ok,kwa sasa bei ipo kiasi gani kwa gunia la kg 100 na vipi unalima hili zao au unalangua tu.Mkuu ndio biashara yangu hiyo, soko lake liko Nrb sehemu inaitwa nyama kima,, ukiwa na full fusso plz nishoo,,
Ok,kwa sasa bei ipo kiasi gani kwa gunia la kg 100 na vipi unalima hili zao au unalangua tu na aina gani ndo ina soko zaidi
Kwa sasa bwn imeshuka sana, huku inapimwa 90kg for now ni 120,000tsh,,,Kenya money ni sawa na 7500 hadi 8000,,Mimi nanunua na kuuza,, ila silangui, soko ndio linasema,,Ok,kwa sasa bei ipo kiasi gani kwa gunia la kg 100 na vipi unalima hili zao au unalangua tu.
I see,ipo chini sana kumbe,sawa na maharage haya mengine tu ya kawaida...kuna mdau hapa aliweka 300,000/=Tsh hadi 500,000/=Tsh tena kwa miaka hiyo ya nyuma sana.Kwa sasa bwn imeshuka sana, huku inapimwa 90kg for now ni 120,000tsh,,,Kenya money ni sawa na 7500 hadi 8000,,Mimi nanunua na kuuza,, ila silangui, soko ndio linasema,,