Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Nataka nilime papai mbeya inyala hivi zinaweza kukubali????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kariakoo wanauzi mbegu. Sio miche. Miche sikushauri. Unaweza kuuziwa miche dume.Mkuu naomba recommend supplyer wa uhakika kwa hapo Kariakoo kama kuna unayemjua, bei ya mche mmoja shilingi ngapi?
Mbegu sh ngp mkuu???Kariakoo wanauzi mbegu. Sio miche. Miche sikushauri. Unaweza kuuziwa miche dume.
Nashukuru mkuu, nitazijuaje mbegu ambazo siyo dume?Kariakoo wanauzi mbegu. Sio miche. Miche sikushauri. Unaweza kuuziwa miche dume.
Hapana Mkuu, hapo sina utaalamu. Ngoja wataalamu waje.Nashukuru mkuu, nitazijuaje mbegu ambazo siyo dume?
Ahsante mkuuHapana Mkuu, hapo sina utaalamu. Ngoja wataalamu waje.
Mkuu hii ni ya mapai inamaana mchanganyiko??? Hv sehemu wanazolima mpunga papai zinakubali?Tshs 15,000 - 20,000 kwa pakti ya Mbegu 70
Nashukuru mkuu, nitazijuaje mbegu ambazo siyo dume?
Ahsante mkuu, hivi ninaweza kuweka maembe na mapapai shamba moja?Ukinunua mbegu ambazo ni Hybrid F1 kunakuwa na mchanganyiko wa majike na hermaphrodite (Ina sehemu ya kike na kiume) ambayo yote yanazaa matunda mfano sinta F1
Hapana Mkuu, hapo sina utaalamu. Ngoja wataalamu waje.
Na mimi nimeanza baada ya kushawishika na hii thread...
![]()
Ila sijui kama hayo mabaka ni kawaida. Hope nitashauriwa hapa
Mkuu umenena vyema, kununua miche mara nyingi utapata hadi asilimia 30 madume ambayo Kwa hakika ni hasara kwani unatumia muda wa hadi miezi mitatu kubaini kama ni dume ilihali umepoteza raslimali nyingi.Kariakoo wanauzi mbegu. Sio miche. Miche sikushauri. Unaweza kuuziwa miche dume.
Ahsante mkuu, hivi ninaweza kuweka maembe na mapapai shamba moja?
Yaani upande huu mapapai upande huu maembe.
Ahsante mkuuUnaweza
mpapai dume dah nimecheka sana japo nina maumivuAiseee bora ufate ushauri wa shossi,mche m1 wa mpapai ni kama buku hivi mikubwa ila ukinunua unaweza ukakuta yote mipapai dume haizai inatoa maua tu na huku uswazi wanasema unafunga bunzi la muhindi zen unabadilika sijui kama it works!
Mkuu hongera unayo mingapi? kuhusu mabaka labda sijayaona au ni uelewa wangu finyu ktk eneo hili, vinginevyo naona unaendelea vizuri.
Jambo la mwisho unatumia dawa gani kukinga Na au kupambana Na wagonjwa?