Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Nasikia Yale matikiti madogo meusi yana soko kubwa kiwandani kama pale Azam, kilo 1 wananunua 2500.
ni kweli?
 
Athante je ulilima gram ngap 250g au 500g na je uliuzia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nililima gramu 160 nikaongeza 60gm kumalizia shamba... niliuza Dom mkuu...... ila kwa ujumla Balton inachelewa kidogo, ingawa hazifiki siku 90 kamili... ila ukiyatunza vizuri ukubwa wa matunda yake unaridhisha [emoji6]... japo nilipata changamoto ya kuzaa matunda machache kwa kila mche... mingi yalikuwa mawili au moja...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie hulima 750g haya nililowesha mvua ilinizidia badae nkaogopa nkapanda 250g nimevuna mwez huu nataka kupanda 1000g nkauzie dar au dom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sukari f1 hii ni habari nyingine kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…