Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

ndugu yangu jojejo kama yamekomaa ni kuyatoa shambani mapema au kuongeza ratiba ya kumwagia maji kuufanya udongo uwe na ubaridi pia epuka kufanya kazi shambani wakati wa jua kali itakayokufanya uyaguse. Ukiyagusa wakati wa jua kali yataendelea kupasuka

naomba ndugu unisaidie kwa nini matunda haya yanapasuka yakiguswa wakati wa joto???
 
Wakuu namimi nina ekari 10 Tabora na nimevutiwa na hiki kilimo, hebu nishaurini shamba linatakiwa liandaliwaje maana langu lina miti mingi na vichaka vya asili,sasa je nikwamba linatakiwa likatwe miti yote liwe jeupe kabisa ama hiki kilimo cha matikiti miti sio tatizo kwake.

Nataka nianze na ekari moja au mbili tu kwanza msimu huu wa kiangazi Edmund na G3T nisaidieni kwanza hatua ya shamba linatakiwa liweje
 
Last edited by a moderator:
Wakuu namimi nina ekari 10 Tabora na nimevutiwa na hiki kilimo, hebu nishaurini shamba linatakiwa liandaliwaje maana langu lina miti mingi na vichaka vya asili,sasa je nikwamba linatakiwa likatwe miti yote liwe jeupe kabisa ama hiki kilimo cha matikiti miti sio tatizo kwake. Nataka nianze na ekari moja au mbili tu kwanza msimu huu wa kiangazi Edmund na G3T nisaidieni kwanza hatua ya shamba linatakiwa liweje

1.Msimu huu haufai kwa kilimo cha tikiti,utakula hasara.anza mwezi wa 7 hadi wa 2 mwakani.
2.safisha shamba kwa kulima na trekta a ngombe,yani shamba litifuliwe vizuri.
3.sagisha pembezoni mwa ekari utakazo anzia kulima ili kuepuka wadudu kama fuko,ngedere na panya wasipate pahara pa kujificha.
4.mbegu aina ya sukari F1 ni nzuri ila inahitaji dawa nyingi na mbole ya kutosha ili tikiti liweze kukua vizuri
 
Asante kiongozi nimeshaanza kusafisha ngoja nisubiri mwezi wa 7 kwa huku nadhani ndio kiangazi kikali kinakua kimekolea
 
  • Thanks
Reactions: G3T
1.Msimu huu haufai kwa kilimo cha tikiti,utakula hasara.anza mwezi wa 7 hadi wa 2 mwakani.
2.safisha shamba kwa kulima na trekta a ngombe,yani shamba litifuliwe vizuri.
3.sagisha pembezoni mwa ekari utakazo anzia kulima ili kuepuka wadudu kama fuko,ngedere na panya wasipate pahara pa kujificha.
4.mbegu aina ya sukari F1 ni nzuri ila inahitaji dawa nyingi na mbole ya kutosha ili tikiti liweze kukua vizuri

Mkuu G3T naomba nipm number yako, unisaidi mambo kadha.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Mkuu G3T naomba nipm number yako, unisaidi mambo kadha.

Natanguliza shukrani za dhati.

mie si mtaaramu wa haya mambo sana,ila nilijaribu kulima kama mala mbili hivi na nikapata the same matatizo.
 
Kilimo kizuri ila kinatesa sana,lazima uache kazi ufanye kazi.
yani tikiti linataka ulilee kama mtoto mchanga

Kweli mkuu ukitaka uone faida ya tikit ni lazma usimanie kwa umakin sana
Me nlitaman nihamie Shamba
 
Kweli mkuu ukitaka uone faida ya tikit ni lazma usimanie kwa umakin sana
Me nlitaman nihamie Shamba

hahahahahah! nimecheka sana mie nilitamani nikae huko huko nilinde mbegu zangu zisije kuibiwa na Panya.ila nilimlipa mtu wa kulinda mbegu yaani ni siku 3 toka kupanda hadi kuchipua.

yani kuna saa unaweza ukaoneka umedata.
 
Kuna kijiji me nililima huko vianz njia ya kwenda mkulanga hakuna wadudu wala wanyama waharibifu ila wananchi wa kule ambao ndio wafanyakazi ni pasua kichwa yan wanakushusha presha hivhiv.
 
Kuna kijiji me nililima huko vianz njia ya kwenda mkulanga hakuna wadudu wala wanyama waharibifu ila wananchi wa kule ambao ndio wafanyakazi ni pasua kichwa yan wanakushusha presha hivhiv.

Mamy siyo kukushusha presha tuu,yani wakiona tu matikiti yako yana dalili ya kutoka vizuri, basi hapo lazima ulogwe.yaani mie kabla ya kupanda mbegu jamaa alinitonya mapemaa ,so nilimpa hela ili akafanye mambo mwenyewe,la sivyo yataoza yote hata kama umenunua dawa zote.
yani kuna mitihani mingi sana sehemu zinazolimwa mazao ya biashara.

changamoto nyingine ni madalali,yani hawa watu wangekuwa wanajua jinsi mkulima anavyopata shida na magharama kibao,wangekuwa wanatujari sana.IVI KUNA MADALALI WANAPITAGA HUMU???.
 
Mkuu nililia bugurun pale kama mtoto nimepeleka mzgo bei tuliyokubaliana asubuh na dalali ilishuka jion nilivyopeleka mzigo alafu akaniambia kama hujaridhika na bei hii njoo tuuze wote ...kiruuuu hapo ni SAA kumi na mbil jioni yani madalali wanaua wakulima ..
 
hujalia peke yako Mamy,ngoja nikupe yangu.:A S cry:

nililima Viazi vitamu na ilitoka sana,basi nikatafuta dalali nikampeta hapo hapo Buguruni,nikampeleka hadi shamba akaukubari mzigo.kesho yake akanipa mtu niende nae ili tuvichimbe mapema yeye akija aje kuvipakia na gari.

mtoto wa kike acha nijitutumue na mie kusaidia kuchimbua hadi nikatokwa na vigimbi vya mkono,kufika jioni tulikuwa bado hatujamaliza kuchimbua yaani ilibaki kisehemu kidogo sana,basi jamaa akapiga cm akadai hadi tumalize ndiyo aje na gari na hayo maviroba.nikamwambia advance akakata kutoa hadi yeye avione.

kesho yake ilikuwa j3 mimi nipo kazini,sasa jamaa kaenda na gari kavichukuwa viazi yani kajaza canter hadi vinamwagika na hela yangu hakunipa.nampigia cm ananiambia viazi vyenyewe vimeoza nimechagua chagua nimepata viroba vi4 na gharama yangu ya usafiri unafikiri mie napata nini,kama vipi njoo hapa sokoni Buguruni uone jinsi navyouza kwa bei ya hasara ili nirudishe gharama ya usafili.
jioni nikapita sokoni,daah! jamaa ananiambia viazi vyako haviuziki nimepata elfu50 tu ,sasa ntakulipa nini.uuuuwiii! yani hakuna siku mbaya kama ile yani nilihisi kuzimia mbele yake.nikamwambia naenda POLISI,
alinijibu POLISI nenda tu maana viazi vyako vimeniingizia hasara.ilibidi nikubari matokeo.

SASA KWENYE TIKITI NILIKUWAJE MKALI ,YAANI HELA MBELE NDIYO UTOE TIKITI SHAMBANI.BILA HELA CASH ZAO LANGU HALITOKI.
ILA KUNA WATU WANAROHO MBAYA SANA,NAWAOGOPA SANA MADALALI NA NAWACHUKIA SANA SANAAAA.
 
Poleni sana mlio kutana na changamoto hyo kwa masoko bt mckate tamaa
 
Asante @Kol Jr.nasubiri msimu uanze niingie mzigoni tena.safar hii sikubali hadi nitoke.
 
Back
Top Bottom