C.K said:
↑
Jamani habarini za wikiendi, naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake?
Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake. Vipi kwa matikiti maji, unavunwa mara ngapi na kwa kipindi/interval gani?-TIKITI UNAVUNA MARA MOJA PIA
Nataka kulima, yanalipa sana nisaidieni tafadhali.[/QUOT
Shamba langu limefikia hatua ya maua ili kuweka matunda,
UNAHITAJI BOOSTER STARTER (POLYFEED STARTER, SUPER GROW)
Tafadhali naomba msaada kwa mambo yafuatayo kwa yeyote mwenye ujuzi
1. mbolea aina gani na ni kiasi gani?-
MBOLEA YA KUPANDIA NI DAP, AU NPK AU YARA MILLER WINNER, MIFUKO 2 INATOSHA KWA KUPANDIA. UTAHITAJI CAN- MIFUKO 2 (100 KGS) YA KUKUZIA
2. madawa aina gani kiasi gani na yanawekwa mara ngapi
-
MADAWA UNAHITAJI YA WADUDU LITA 2, YA UKUNGU KILO 2, NA YA KUZUIA MBEGU KUOZA (HIZI UNATUMIA KABLA YA KUPANDA MBEGU UTAHITAJI GRAM 10 KW AMBEGU SIZIZO ZIDI GRAM 500), DAWA UNATUMIA KILA BAADA YA SIKU 14. UTAHITAJI PIA BOOSTER, 1 KG YA STARTER BOOSTER NA 1 KG YA FINISHER BOOSTER
3. kuna suala la upogoleaji kukatia matawi na topping, jee inafanyikje-
KWAA TIKITI, TUNA NIMP KLE MBELE/KUKATA KULE MBELE ILI KILA KAMBA /MCHE UBAKI NA ANGALAU MATUNDA 3 YASIZIDI MANNE KWA KAMBA MOJA
4. suala la uchavushaji nitajuaje kama hali ni nzuri maana nimesikia kuna hand polination
-
HAND POLLINATION INAFANYIKA KATIKA GREEN HOUSE, SI KATIKA OPEN FIELD
5 idadi ya matunda yanayopaswa kuachwa kwenye mche ni mangapi-
3-4
TAFADHALI MWENYE UJUZI NAOMBA MSAADA