hasason
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 1,648
- 1,539
Kule ndio wakali wa hizi kazi wapo wakulima wengi sana wa horticulture sababu ya access ya mifereji ya maji na ardhi yenye rutuba.Natafuta Shamba Nduruma na mimi nianze hii mbishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule ndio wakali wa hizi kazi wapo wakulima wengi sana wa horticulture sababu ya access ya mifereji ya maji na ardhi yenye rutuba.Natafuta Shamba Nduruma na mimi nianze hii mbishe
La serikali naona magari ni DFP mkuu?Asante hizo greenhouses zipo Arusha maeneo ya chekereni kweli ni uwekezaji wa kufa mtu na hilo shirika la horticulture la TAHA nalifahamu sababu nina rafiki yangu anafanya kazi hapo.
DFP = Donor Funded Project, haimaanishi kuwa ni mradi wa serikali pekee, bali unaweza kuwa ni private sector/au wananchi au ushirika, au serikali lakini sehemu ya pesa imetolewa na wafadhili kama Bill Gates etc...La serikali naona magari ni DFP mkuu?
View attachment 590896 Ama kwa hakika hayawi hayawi sasa yamekua, asie na mwana aelekee jiwe ndio funzo la wahenga kwa yeyote atae shupaza shingo lake basi mvunjiko ndio halali yake. View attachment 590897
Ni Tanzania ndio ni Tanzania tena kama sio Tanganyika mbabe na muasisi wa uchumi dynamic na usio na ulemavu katika sector moja. View attachment 590891
Mama Tanzania sio mrembo tu kwenye vastness of Dimond, Gold, Copper, Uranium, Natural Gas, Petroleum bali pia ni mbobevu kwenye mbuga za wanyama na maajabu lukuki pasi na kifani View attachment 590892
Naaam ni horticulture, the blooming beauty wealthy kutoka kaskazini hadi nyanda za juu kusini kunako mandhari tulivu zilizojichimbia katika ardhi mwanana za Iringa na Mbeya bila kusahau Songea na Njombe pia imepanda meli na kuvuka bahari kupita mkondo nungwi kunako Zanzibar. View attachment 590893
Najimwaga uwanjani kwa raha zangu nikiwa napapasa kibao kifungo changu kilichonakshiwa na mwanazuoni mbobevu na hayati mzee Steve Jobs huku nikipata harufu maridaaaad ya uaridi toka viunga vya miguu ya mlima namba tatu hewani barani humu View attachment 590888
lakini nalo koo langu likijishebedua kwa mchanganyiko muhali wa matunda yaliyokuzwa na kubalehe kitaalam chini ya uangalizi wa wenye madigrii yao kunako ulingo wa horticulture.View attachment 590898
Wapo wa ughaibuni wasiojizuia waonapo fursa na wapo tayari kiteketeza mamilioni ya midolari ilimradi wapate kilicho bora na kinachonoga, mara zote tabasamu letu kama taifa limekua saresare Tanzania ni njema atakae na ajeView attachment 590889
Jamani naomba nieleweke sio kama nimechanganyikiwa au nipo chini ya uangalizi wa matabibu wa Hospital maarufu ya Dodoma bali nataka mpate walau kokwa kama si ganda la kilicho ndani mwa horticulture industry nchini Tanganyika na Zanzibar View attachment 590894
Sio Tanzania pekee bali tumepaa na kutapakaa kila pahala panako rupia tukipenyezewa endapo watajipata na udhia wa mavuno yetu yaso na kifani kwani umbali haukufua dafu kuzubaisha matamanio yetu View attachment 590895
Pamoja na mataifa pembezoni kujinasibu kama wabobezi na wenye weledi lukuki katika dunia hii lakini amini usiamini Tanzania tumefunga vibwebwe na ngoma inasakatwa mpaka majogoo bila kokoriko.
View attachment 590887
Kwa leo nisiseme sana mithili ya SHIHATA nikaambiwa nina mineno miiiingi kama pesa za Zimbabwe nikajiharibia siha yangu njema jukwaani kesho na keshokutwa mkataka kunipopoa nikiwa natamba uwanjani. View attachment 590890

Kenya’s horticulture sector ranked the fastest growing industryView attachment 590896 Ama kwa hakika hayawi hayawi sasa yamekua, asie na mwana aelekee jiwe ndio funzo la wahenga kwa yeyote atae shupaza shingo lake basi mvunjiko ndio halali yake. View attachment 590897
Ni Tanzania ndio ni Tanzania tena kama sio Tanganyika mbabe na muasisi wa uchumi dynamic na usio na ulemavu katika sector moja. View attachment 590891
Mama Tanzania sio mrembo tu kwenye vastness of Dimond, Gold, Copper, Uranium, Natural Gas, Petroleum bali pia ni mbobevu kwenye mbuga za wanyama na maajabu lukuki pasi na kifani View attachment 590892
Naaam ni horticulture, the blooming beauty wealthy kutoka kaskazini hadi nyanda za juu kusini kunako mandhari tulivu zilizojichimbia katika ardhi mwanana za Iringa na Mbeya bila kusahau Songea na Njombe pia imepanda meli na kuvuka bahari kupita mkondo nungwi kunako Zanzibar. View attachment 590893
Najimwaga uwanjani kwa raha zangu nikiwa napapasa kibao kifungo changu kilichonakshiwa na mwanazuoni mbobevu na hayati mzee Steve Jobs huku nikipata harufu maridaaaad ya uaridi toka viunga vya miguu ya mlima namba tatu hewani barani humu View attachment 590888
lakini nalo koo langu likijishebedua kwa mchanganyiko muhali wa matunda yaliyokuzwa na kubalehe kitaalam chini ya uangalizi wa wenye madigrii yao kunako ulingo wa horticulture.View attachment 590898
Wapo wa ughaibuni wasiojizuia waonapo fursa na wapo tayari kiteketeza mamilioni ya midolari ilimradi wapate kilicho bora na kinachonoga, mara zote tabasamu letu kama taifa limekua saresare Tanzania ni njema atakae na ajeView attachment 590889
Jamani naomba nieleweke sio kama nimechanganyikiwa au nipo chini ya uangalizi wa matabibu wa Hospital maarufu ya Dodoma bali nataka mpate walau kokwa kama si ganda la kilicho ndani mwa horticulture industry nchini Tanganyika na Zanzibar View attachment 590894
Sio Tanzania pekee bali tumepaa na kutapakaa kila pahala panako rupia tukipenyezewa endapo watajipata na udhia wa mavuno yetu yaso na kifani kwani umbali haukufua dafu kuzubaisha matamanio yetu View attachment 590895
Pamoja na mataifa pembezoni kujinasibu kama wabobezi na wenye weledi lukuki katika dunia hii lakini amini usiamini Tanzania tumefunga vibwebwe na ngoma inasakatwa mpaka majogoo bila kokoriko.
View attachment 590887
Kwa leo nisiseme sana mithili ya SHIHATA nikaambiwa nina mineno miiiingi kama pesa za Zimbabwe nikajiharibia siha yangu njema jukwaani kesho na keshokutwa mkataka kunipopoa nikiwa natamba uwanjani. View attachment 590890
Zilete mkuu hizo namba pleaseIringa wanakata mipines wanaotesha Avocados, Avocado za Tanzania ni lulu ughaibuni kuna company inataka tons 5000 kila mwezi kama ukitaka MAWASILIANO nikupe.
Maneno mengi point chache stupid vision wengine tubaki wachangiaji tu siyo kutafuta kiki za kitoto kwa kuanzisha Uzi uselessView attachment 590896 Ama kwa hakika hayawi hayawi sasa yamekua, asie na mwana aelekee jiwe ndio funzo la wahenga kwa yeyote atae shupaza shingo lake basi mvunjiko ndio halali yake. View attachment 590897
Ni Tanzania ndio ni Tanzania tena kama sio Tanganyika mbabe na muasisi wa uchumi dynamic na usio na ulemavu katika sector moja. View attachment 590891
Mama Tanzania sio mrembo tu kwenye vastness of Dimond, Gold, Copper, Uranium, Natural Gas, Petroleum bali pia ni mbobevu kwenye mbuga za wanyama na maajabu lukuki pasi na kifani View attachment 590892
Naaam ni horticulture, the blooming beauty wealthy kutoka kaskazini hadi nyanda za juu kusini kunako mandhari tulivu zilizojichimbia katika ardhi mwanana za Iringa na Mbeya bila kusahau Songea na Njombe pia imepanda meli na kuvuka bahari kupita mkondo nungwi kunako Zanzibar. View attachment 590893
Najimwaga uwanjani kwa raha zangu nikiwa napapasa kibao kifungo changu kilichonakshiwa na mwanazuoni mbobevu na hayati mzee Steve Jobs huku nikipata harufu maridaaaad ya uaridi toka viunga vya miguu ya mlima namba tatu hewani barani humu View attachment 590888
lakini nalo koo langu likijishebedua kwa mchanganyiko muhali wa matunda yaliyokuzwa na kubalehe kitaalam chini ya uangalizi wa wenye madigrii yao kunako ulingo wa horticulture.View attachment 590898
Wapo wa ughaibuni wasiojizuia waonapo fursa na wapo tayari kiteketeza mamilioni ya midolari ilimradi wapate kilicho bora na kinachonoga, mara zote tabasamu letu kama taifa limekua saresare Tanzania ni njema atakae na ajeView attachment 590889
Jamani naomba nieleweke sio kama nimechanganyikiwa au nipo chini ya uangalizi wa matabibu wa Hospital maarufu ya Dodoma bali nataka mpate walau kokwa kama si ganda la kilicho ndani mwa horticulture industry nchini Tanganyika na Zanzibar View attachment 590894
Sio Tanzania pekee bali tumepaa na kutapakaa kila pahala panako rupia tukipenyezewa endapo watajipata na udhia wa mavuno yetu yaso na kifani kwani umbali haukufua dafu kuzubaisha matamanio yetu View attachment 590895
Pamoja na mataifa pembezoni kujinasibu kama wabobezi na wenye weledi lukuki katika dunia hii lakini amini usiamini Tanzania tumefunga vibwebwe na ngoma inasakatwa mpaka majogoo bila kokoriko.
View attachment 590887
Kwa leo nisiseme sana mithili ya SHIHATA nikaambiwa nina mineno miiiingi kama pesa za Zimbabwe nikajiharibia siha yangu njema jukwaani kesho na keshokutwa mkataka kunipopoa nikiwa natamba uwanjani. View attachment 590890
"wengine" probably its you and some other lunatics of your caliber me not included. Usitake tufanane am way too far from your type. Tuheshimiane.Maneno mengi point chache stupid vision wengine tubaki wachangiaji tu siyo kutafuta kiki za kitoto kwa kuanzisha Uzi useless
Eti Stupid vision, [emoji1] [emoji1] [emoji1]Maneno mengi point chache stupid vision wengine tubaki wachangiaji tu siyo kutafuta kiki za kitoto kwa kuanzisha Uzi useless
Wivu!!Mimi huwa najiuliza Tanzania mngekuwa first world country sisi Wakenya tungepumua kweli? Si mngekuwa mnaturingia hapa kila siku. Hata Mungu huwa anajua nani anamajivuno na akipewa baraka wengine hawatalala. Qatar ndio nchi inayo GDP per capita kubwa sana duniani na watu ni matajiri sana ila hutawahi msikia mtu kutoka nchi hio akiringa hivi. Kuna nchi zimeendelea ndugu yangu wacha nchi zetu hizi za Kiafrika na majivuno yetu.
Tanzania is not for flowers only we are scattered to the all levels of horticulture since Horticulture means production of fruits, flowers, spices, herbs and vegetables whether indoors or outdoors Tanzania tupo njema kwenye maua lakini tupo vizuri zaidi kwenye vegetables, fruits, herbs, spicesKenya’s horticulture sector ranked the fastest growing industry
June 8, 2017
![]()
Over 5,000 flower growers, breeders and buyers are in Nairobi for the annual International Flower Trade Expo, now in its sixth year.
The expo is timely for Kenya, coming at a time when the country is set to introduce direct flights to the USA following the classification of Kenya’s premier airport, Jomo Kenyatta International Airport to category a status.
Kenya’s horticultural sector is currently ranking as one of the economy’s fastest growing industries as well as the top foreign exchange earner for the country.
Since International flower trade expo opened its doors here in 2012, there has been a steady pattern of target visitors.
Buyers visit Kenya to see the flowers and book supplies.
Although Kenya actively participates in our other international flower shows globally, IFTEX offers the largest number of growers sitting together showcasing the unique characteristics of flowers from the country’s various growing regions.
Got roses this Valentine's Day? They probably came from Kenya
![]()
Photos: Kenya's flower power
The main cut flowers grown in Kenya are roses, carnations, hypericums (pictured), alstromeria, gypsophilla and lilies, amongst many others.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Story highlights
(CNN)If you were the lucky recipient of a bunch of fragrant roses this Valentine's Day, it's likely that they came from Kenya.
- Kenya is one of the biggest flower exporters in the world
- Around one in three flowers sold in Europe come from the country
The country is the third largest exporter of cut flowers in the world, accounting for around 35% of all sales in the European Union. Famed for being long-lasting, Kenya's roses, carnations and summer flowers are also popular in Russia and the U.S. where last week several growers showcased their blooms at the World Floral Expo in Los Angeles.
The event is one of the industry's largest and gathers over 80 exhibitors from across the world, with several Ethiopian growers also representing the African continent alongside Kenya.
Benan Barwick/CNN
The country's flower power is attributed to its sunny climate, which enables high-quality blossoms to be grown year-round without the need for expensive-to-run greenhouses. Kenya also has excellent transport links to Europe, and from there, the rest of the world through Nairobi airport, which has a terminal dedicated specially to the transport of flowers and vegetables. This means that delicate floral cargo which is perishable in nature can be shifted from growers to consumers swiftly.
More than 500,000 people in the country depend on the trade according to the Kenya Flower Council, with roughly half of the country's 127 flower farms concentrated around Lake Naivasha, around 90 kilometers northwest of Nairobi.
"Naivasha is a big center because it's a freshwater lake and it is not very far from Nairobi, which makes transport easy," says John Kihia, technical director of Floralife Africa, a company which provides hydration, transport and storage for the cut-flower industry. "People have been growing flowers there for a long time so there is a skilled labor force in place," he adds.
Ndio Mkuu vipo vikundi vingi sana ambavyo vinapata utaalamu, Mbegu bora, madawa, taarifa za masoko (kununua mazao yako yote) kutoka kwa makampuni makubwa yanayofanya packaging, logistics and marketing, hivyo unachotakiwa kuwa nacho ni ardhi tu mengine yote utapata kutoka kwao, nimeweka contact zao hapo juu wasiliana nao.REDEEMER. naomba unifafanulie, ukiondoa makampuni makubwa kushiriki katika ulimaji, je kuna wakulima wadogo wadogo ambao wako organised katika association, or cooperative or networks....? nifahamishe tafadhali