Kilimo cha mboga mboga Tanzania/ horticulture: Jinsi ya kuandaa shamba, palizi na kuvuna

Kilimo cha mboga mboga Tanzania/ horticulture: Jinsi ya kuandaa shamba, palizi na kuvuna

Ndio Mkuu vipo vikundi vingi sana ambavyo vinapata utaalamu, Mbegu bora, madawa, taarifa za masoko (kununua mazao yako yote) kutoka kwa makampuni makubwa yanayofanya packaging, logistics and marketing, hivyo unachotakiwa kuwa nacho ni ardhi tu mengine yote utapata kutoka kwao, nimeweka contact zao hapo juu wasiliana nao.
Napenda kujua muundo wao tu
 
Vijana sasa wanatoka kwenye madini (Tanzanite) wanajikita kwenye horticulture, niko Arusha ni sector inayotajirisha vijana wengi na wengi wamejikita kufanya hii shughuli, uzuri wa Arusha na most part of Tanzania soko sio shida kwa hizi product shida huwa iko kwenye bei yaani kipindi kipi unauza kwa bei nzuri so uhakika wa kuuza kwanza hufanya kila anaelima asikate tamaa ya kuendeleza kilimo chake
 
Back
Top Bottom